Idadi ya graduate Tanzania 2013/14

Idadi ya graduate Tanzania 2013/14

gen parton

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
642
Reaction score
410
Nafanya wide research napenda kufahamu wahitimu wa vyuo vikuu wanafikia wangapi kwa mwaka? Tanzania wangapi kwa east africa naomba mwenye majibu bado nakusanya data wadau.
 
nafanya
wide research napenda kufahamu wahitimu wa vyuo vikuu wanafikia wangapi kwa mwaka? Tanzania wangapi kwa
east africa naomba mwenye majibu bado nakusanya data wadau

Ndugu km upo serious na utafiti wako na unataka kupata taarifa sahihi kuhusiana na utafiti wako ninakushauri uende mamlaka husika km vike nacte na tcu.
 
Ndugu km upo serious na
utafiti wako na unataka kupata taarifa sahihi kuhusiana na utafiti wako
ninakushauri uende mamlaka husika km vike nacte na tcu.
nashukuru ndugu ila nipo mbali sana na dar specific tafiti haihusiani ni somo hapo juu ila kuna kipengele ni muhim niwe na hizo data hata 2012/13
 
Back
Top Bottom