Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
tuchague moja kati ya mawiliHabari za leo, bila shaka utakuwa umeshuhudia ongezeko la vijana wanaojiita mbwa wamekaa paleee.
Nini kifanyike kuwapunguza? Wizara inayohusiana na mifugo ina taarifa ya ongezeko la aina hii mpya ya mbwa?
Hii nchi Ina vijana wa hovyo sana.
Wapelekwe Iringatuchague moja kati ya mawili
wapelekwe iringa au waasiwe
bora basi wapelekwe iringa tuWapelekwe Iringa
Wakikusikiliza kilio chako niite mbwa nimekaa paleeeHabari za leo, bila shaka utakuwa umeshuhudia ongezeko la vijana wanaojiita mbwa wamekaa paleee.
Nini kifanyike kuwapunguza? Wizara inayohusiana na mifugo ina taarifa ya ongezeko la aina hii mpya ya mbwa?
Hii nchi Ina vijana wa hovyo sana.