Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M).
Hii ni habari nzuri kwa walaji wa kitoweo hicho maarufu kama "Kitimoto" "Mdudu" ambacho kimekua kikipendwa na watu mbali mbali hapa nchini bila kuchagua rika,kabila wala dini.
Hii ni habari nzuri kwa walaji wa kitoweo hicho maarufu kama "Kitimoto" "Mdudu" ambacho kimekua kikipendwa na watu mbali mbali hapa nchini bila kuchagua rika,kabila wala dini.