Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

5c31f9b4-96ec-4eb5-9025-36308f6fb3b7.jpg
 
Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M).

Hii ni habari nzuri kwa walaji wa kitoweo hicho maarufu kama "Kitimoto" "Mdudu" ambacho kimekua kikipendwa na watu mbali mbali hapa nchini bila kuchagua rika,kabila wala dini.

View attachment 2607474View attachment 2607475
Hureeeee! Mpaka wafike nguruwe takriban milioni 40 ndio itakuwa supa zaidi.
 
Back
Top Bottom