Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Nomaaa hakika kitimoto hakwepeki.Oya hiyo kitu sio poa kabisa πππ
Kuna jamaa ni Mwislamu alileta kitimoto nusu geto ikabidi nitoke nikaongeze jumla ikawa kilo 2.
Tulikula hadi kujilamba afu nakumbuka hy siku ilikuwa Ijumaa.
Nyama ya taifa hiyo or kitoweo cha taifa.Haaahaaa
Ipendeze hii mifugo izidi zaidi ya hiyo na iwe inaliwa na watu daily na bei yake ishuke zaidi kila raia awe huru kula sio walevi peke yao.
Ukianza kuuza unitaarifu niwe nakushikia hela.Waoooh good news.
Hapo wangeongeza na WA kwangu mwakani naanza kufuga
Ahahaha anaitwa Bwana Aboubakari!! Mkuu wa meza, Mzee wa muafaka!!Oya hiyo kitu sio poa kabisa πππ
Kuna jamaa ni Mwislamu alileta kitimoto nusu geto ikabidi nitoke nikaongeze jumla ikawa kilo 2.
Tulikula hadi kujilamba afu nakumbuka hy siku ilikuwa Ijumaa.
Mshana napita zangu kwa huzuni hii habari ngumu kwangu kuikubaliNgoja nibaki Hulu nguruwe zina mapepo.. Yale yaliyoomba hifadhi baada ya Kristo kuyatimua mwilini mwa mtu.. Akayaamuru yakaingie kwenye kundi la nguruweView attachment 2607514
Baada ya mapepo kuwaingilia wale Nguruwe na wao wakaenda kujitosa baharini wakafa...Mshana napita zangu kwa huzuni hii habari ngumu kwangu kuikubali
Mapepo yalikufa,Baada ya mapepo kuwaingilia wale Nguruwe na wao wakaenda kujitosa baharini wakafa...
Umeelewa nini?