Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

Mduduu hoyee!!!! Jinsi wanavyokupinga kwa propaganda za kijinga, mara una minyoo inayoingia kwenye ubongo, mara nyama yako ukiweka limao minyoo inazaliwa , Ndivyo mwamba unavyozidi kuongezeka hapa nchi Takatifu ikimasha kuwa unaendelea kupata marafiki wengi hata wale waliodanganywa na Mila na vitabu vya kizamani kuwa wewe hufai Wana jisonsomoa iwe kwa wazi au kwa Siri baada ya kuona wanaokula haeagi Bali Wana afya tele
Hahaha noma
 
Hizi taarifa amezipataje, data zinamashaka sana.

Anaelewa kwa wastani kila siku kitimotoz wangapi wanachinjwa?

Hawa si wiki tu wameisha, lakin haijawahi kuadimika hii kitu.

Au ndii maana huzushia magonjwa ila spidi ipungue wazaliane kwanza [emoji23]
Mnyama pendwa.
 
Tuhitimishe kwa kusema Nguruwe ndio kitoweo bora zaidi dunia.
1598545010-kitimoto_masters_.jpg
 
Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M).

Hii ni habari nzuri kwa walaji wa kitoweo hicho maarufu kama "Kitimoto" "Mdudu" ambacho kimekua kikipendwa na watu mbali mbali hapa nchini bila kuchagua rika,kabila wala dini.

View attachment 2607474View attachment 2607475

Ngoja wale jamaa waje, mi nachojua mwezi ramazan biashara ya kitimoto haitoki kabisa.
 
Back
Top Bottom