- Thread starter
- #21
Ili kuepuka hili kwa hakika unahitaji mwenzi mwenye upendo na si aliepatikana kwa kigezo cha mali. Mali zikiisha anaondoka tayari unabaki single father.Kati ya kitu naepuka ni kuzaa zaa hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili kuepuka hili kwa hakika unahitaji mwenzi mwenye upendo na si aliepatikana kwa kigezo cha mali. Mali zikiisha anaondoka tayari unabaki single father.Kati ya kitu naepuka ni kuzaa zaa hovyo
Single parenting ni malezi ya mzazi 1,Ili kuepuka hili kwa hakika unahitaji mwenzi mwenye upendo na si aliepatikana kwa kigezo cha mali. Mali zikiisha anaondoka tayari unabaki single father.
Sio wote bana...Wadada wanakimbilia wenye mapene, wanatuzarau sisi mafukara.
Na wenye mapene wanaishia kuwazalisha.
Wakishazalishwa hawaoleki tena, mafukara tunapata easy pickings
Unasemaje wewe????Sio wote bana...
Maisha yanaenda kasi Sana now days hupati mwanamke anaye eleweka bila pesa ama kazi nzuriNdio utandawazi. Kwa wenzetu ni mambo ya kawaida kabisa ila sisi bado tuna kaujima flani hivi. Mabinti sasa wamekuwa wa pochi nene. Yaani ili umuoe ni lazima umtangazie magari na kazi nzuri. Hawataki uhalisia. Lazima tukubali kwamba, tunakosa muelekeo wa mahitaji ya ndoa.
Mkuu umenena vyema kabisa...Nakiogopa sana kizazi kinacho tokana na single parent. Siku hizi watoto wa kiume utawasikia "bibi yake yupo atamlea.......".Wanawake nao sababu ya viburi za hela zao "nitamlea mwanangu kwani hela ninayo kazi ninayo......".
Jifunzeni kwa Yesu,Maria na Yusuph,kipindi kile Mariam anapata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu,Yusuph baada ya kugundua akaamua kumuacha Mariam kwa siri.
Ila Mungu alimfuata Yusuph na kumwambia yule mtoto amepatikana kwa uwezo wake yeye. Sasa hapo mjiulize kwa nini Mungu alimfuata Yusuph kwani yy alishindwa kumkuza na kumlea Yesu,hapo ndio uone hata Mungu anaamini ktk familia ya baba,mama na watoto na sio mama na watoto au baba na watoto. (NB:kwa wanao amini uwepo wa Mungu).
So single parenting sio mpango wa Mungu.