Idadi ya 'single parents' itaongezeka zaidi

Idadi ya 'single parents' itaongezeka zaidi

Mabadiliko ya tabia nchi yanakuja na mengi..hata usiogope ni kawaida tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu kwanin wakati agizo kuu Mungu alilotupa binadamu ni 'zaeni muongezeke' huoni kama unakaidi maelekezo ya Mungu?😀
 
Nakiogopa sana kizazi kinacho tokana na single parent. Siku hizi watoto wa kiume utawasikia "bibi yake yupo atamlea.......".Wanawake nao sababu ya viburi za hela zao "nitamlea mwanangu kwani hela ninayo kazi ninayo......".

Jifunzeni kwa Yesu,Maria na Yusuph,kipindi kile Mariam anapata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu,Yusuph baada ya kugundua akaamua kumuacha Mariam kwa siri.

Ila Mungu alimfuata Yusuph na kumwambia yule mtoto amepatikana kwa uwezo wake yeye. Sasa hapo mjiulize kwa nini Mungu alimfuata Yusuph kwani yy alishindwa kumkuza na kumlea Yesu,hapo ndio uone hata Mungu anaamini ktk familia ya baba,mama na watoto na sio mama na watoto au baba na watoto. (NB:kwa wanao amini uwepo wa Mungu).

So single parenting sio mpango wa Mungu.
 
ivi kwanin mnalazimisha kuoa wanawake wajinga wajinga mim nampango wa kwenda kuolea mbali kabisa Mungu kaumba Dunia kubwa nyiny mnangania mauchafu Kila siku yanawaletea shida
 
Ndio utandawazi. Kwa wenzetu ni mambo ya kawaida kabisa ila sisi bado tuna kaujima flani hivi. Mabinti sasa wamekuwa wa pochi nene. Yaani ili umuoe ni lazima umtangazie magari na kazi nzuri. Hawataki uhalisia. Lazima tukubali kwamba, tunakosa muelekeo wa mahitaji ya ndoa.
Maisha yanaenda kasi Sana now days hupati mwanamke anaye eleweka bila pesa ama kazi nzuri
 
Tamaa ya pesa miongoni mwa wanawake ndio chanzo Cha matatizo yote ndani ya ndoa.

Wanasemaga mwanaume kosa pesa uzijue tabia za mkeo.
 
Nakiogopa sana kizazi kinacho tokana na single parent. Siku hizi watoto wa kiume utawasikia "bibi yake yupo atamlea.......".Wanawake nao sababu ya viburi za hela zao "nitamlea mwanangu kwani hela ninayo kazi ninayo......".

Jifunzeni kwa Yesu,Maria na Yusuph,kipindi kile Mariam anapata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu,Yusuph baada ya kugundua akaamua kumuacha Mariam kwa siri.

Ila Mungu alimfuata Yusuph na kumwambia yule mtoto amepatikana kwa uwezo wake yeye. Sasa hapo mjiulize kwa nini Mungu alimfuata Yusuph kwani yy alishindwa kumkuza na kumlea Yesu,hapo ndio uone hata Mungu anaamini ktk familia ya baba,mama na watoto na sio mama na watoto au baba na watoto. (NB:kwa wanao amini uwepo wa Mungu).

So single parenting sio mpango wa Mungu.
Mkuu umenena vyema kabisa...
 
Hakuna maadili kama zamani
Jambo linaloleta matatizo mengi kama usaliti, kutokuwa wawajibikaji, kujifikiria mwenyewe kwanza kabla ya familia na mengine
 
Back
Top Bottom