DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Idadi ya vifo vya waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba barabara kuu ya Moshi-Tanga wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwa kugongana uso kwa uso na kuungua moto imeongezeka na kufikia vifo 42 huku Serikali ikitarajia kesho kukabidhi miili ya wa marehemu hao katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC kwa ndugu zao mara baada ya kupokea majibu ya vina saba ya kutambulika kwa miili hiyo kutoka Mkemia Mkuu wa Serikali.
Soma,Pia: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka
Chanzo:ITV
Soma,Pia: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka
Chanzo:ITV