Idadi ya vifo vilivyotokea Mashariki ya Kati Vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran

Idadi ya vifo vilivyotokea Mashariki ya Kati Vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mashambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran yaliyoaanza Februari 28, 2026 yaliyomuondoa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Alli Khamenei yanaendelea hadi sasa huku vifo na majeruhi vikiongezeka katika maeneo tofauti Mashariki ya Kati

Shirika la Habari la kimataifa la Al Jazeera imetoa idadi ya vifo na majeruhi katika maeneo tofauti yanayoendelea kuathirika na vita hiyo

Iran: At least 1,444 people killed and 18,551 injured

Lebanon: 968 people killed in Israeli attacks since March 2, including more than 100 children

Iraq: 60 people killed, mostly members of the Iran-backed Popular Mobilisation Forces

Israel: 17 people killed, including 15 civilians and two Israeli soldiers in southern Lebanon

United States: 13 service members killed – seven in operations against Iran and six in an aircraft crash over Iraq

United Arab Emirates: Eight people killed, including two soldiers

Kuwait: Six people killed, including two in Iranian attacks

Palestine: Three women killed in the occupied West Bank

Syria: Four people killed

Oman: Three people killed

Saudi Arabia: Two people killed

Bahrain: Two people killed

France: One soldier killed in a drone attack in northern Iraq


Source: Al Jazeera
 
Back
Top Bottom