Idadi ya Vito vya kina mama wakati wakujifungua picha ya maendeleo

bezos2019

Member
Joined
Apr 23, 2019
Posts
47
Reaction score
35
Nchi 20 zenye idadi ndogo ya vifo vya kina mama wakati wakujifungua Africa (2020), pia inaitwa maternal mortality rate (MMR) ni njia nyingine ya kupima maendeleo ya nchi.

Namba baada ya jina la nchi ni Idadi hii ni ya Vifo vilivyotokea kati ya kila wanawake laki mmoja waliojifungua salama mwaka 2020.

1. Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ - 16.8
2. Morocco πŸ‡²πŸ‡¦- 71.9
3. Libya πŸ‡±πŸ‡Ύ- 72.1
4. Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ - 77.7
5. Mauritius πŸ‡²πŸ‡Ί - 84.4
6. South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ - 126
7. Mozambique πŸ‡²πŸ‡Ώ- 127.1
8. Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² - 134.7
9. Botswana πŸ‡§πŸ‡Ό - 185.9
10. Equatorial Guinea πŸ‡¬πŸ‡Ά- 212.3
11. Namibia πŸ‡³πŸ‡¦ - 214.6
12. Comoros πŸ‡°πŸ‡² - 217
13. Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ - 221.9
14. Gabon πŸ‡¬πŸ‡¦ - 226.6
15 Djibouti πŸ‡©πŸ‡― - 234.5
16. Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ - 238.3
17. Eswatini πŸ‡ΈπŸ‡Ώ - 239.6
18. Rwanda πŸ‡·πŸ‡Ό - 258.9
19. Senegal πŸ‡ΈπŸ‡³ - 260.9
20. Ghana πŸ‡¬πŸ‡­ - 263.1

Sources
1. WHO
2. OWID
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…