Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Ila bora wanaosusia kuliko wale wa kusema ndiooo kwa kila kitu hata visivyo na tija kwa Taifa.Kuna haja gani ya kuwa na wabunge wengi ambao wakati wote wanasusia na kuzomea vikao utadhani wabeba lumbesa wa shimoni Kariakoo,wacha wapunguzwe hakuna kazi yoyote wanayofanya