Ila bora wanaosusia kuliko wale wa kusema ndiooo kwa kila kitu hata visivyo na tija kwa Taifa.Kuna haja gani ya kuwa na wabunge wengi ambao wakati wote wanasusia na kuzomea vikao utadhani wabeba lumbesa wa shimoni Kariakoo,wacha wapunguzwe hakuna kazi yoyote wanayofanya
Ili kupunguza idadi ya wabunge inabidi sheria ibadilishwe kwanza. Na mpaka sasa hivi haijabadilika. Hivyo, si rahisi kuwapunguza kwa sasa.Wazo la kupunguza idadi ya wabunge si wazo baya; litaokoa fedha nyingi na labda linaweza kulazimisha mabadiliko ya utendaji wa Bunge hilo. Jambo la kwanza ni kuondoa wabunge wa viti maalum. Hawana wanayemwakilisha ambaye hawakilishwi na mbunge wa jimbo.
Waende tu kwenye serikali ya majimboUkubwa wa baraza la mawaziri ni eneo lingine muhimu sana kuliangalia. Inafaa kuwa na serikali ndogo yenye mawaziri wasiozidi 20 ili kubana matumizi na kuongeza tija
mwisho wa mkapa ni tajiri na anakula bata lushoto ,na tena katoa kitabu ,ila waliokufa pemba kawapa pole ukiacha wa mwembechai,CCM MBELE KWA MBELE ......This is a jungle ,the rule is Jungle law(The strong survive ,the weak eaten)Wafanye yoote wapendayo ila CCM itambue kuwa kuna MWISHO!!
Magufuli ajifurahishe apendavyo ila atambue kuwa “YANA MWISHO”
Hakuna aliyewahi waza Sumaye na Lowassa Leo watakua upinzani!! Hawa watu Magu hawezi zifikia kariba zao hata robo lakini Leo tunaongea lugha moja!!
Muda ndiye hakimu wa yote!!
Nakumbuka riwaya pendwa ya KULI “lakini yana mwisho”
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigo ni mingi sana ofisi ya mkuu wa wilaya mkuu wa mkoaViti maalumu ni mzigo wafutwe hawana ofisi
Ni sahihi, wabunge wa viti maalum waondolewe kabisa, na wawe replaced na wabunge wachache wa makundi maalum, mfano vijana, watoto na walemavu.Wazo la kupunguza idadi ya wabunge si wazo baya; litaokoa fedha nyingi na labda linaweza kulazimisha mabadiliko ya utendaji wa Bunge hilo. Jambo la kwanza ni kuondoa wabunge wa viti maalum. Hawana wanayemwakilisha ambaye hawakilishwi na mbunge wa jimbo.