Idadi ya Waislamu duniani yafikia Bilioni mbili mwaka 2023

2010: 1.6 Billion
2023: 2.01 Billion

Ni hatua kubwa sana ndani ya miaka 13
Hatua kubwa ya kuzaluana

Halu zao za maisha kwa kuzaluana huko zikoje ni nzuri?

Ongezeko.lao linaandana na ongezeko la quality za maisha.za familia zao?

Kuzaa sio shida hata ngedere anazaa matunzo na hali bora ya maisha ndio hutofautisha uzazi wa mnyama na binadamu
 

JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi na haikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.


HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????
 
Hiyo ni kutokana na mfumo wa uislamu katika maswala ya ndoa.

Kuoa wanawake zaidi ya watatu lakini pia swala la talaka kurahisishwa na kusababisha ongezeko la watoto wengi ambao wamepatikana na mzazi mmoja wa kiume.

Lakini na ile marufuku ya muislamu kubadili dini kutoka uislamu kwenda dini nyingine nayo imesababisha ongezeko hilo.
 
Hao maadui ni kama kina nani?
 
Njia mnazo tumia kupotosha ni mbaya waislama husoma kitabu hicho mara tano kwa siku nionyeshe hayo maandishi hapa chini
 
Afu Tanzania ni 35%
Sensa ya 1958 waislam walikua 66%,waliobaki wapagani na wakiristo,sensa waliyofanya mashemasi ndani ya serikali huru 1968 waislam wakawa 35%,mashemasi walipopeleka hizo takwimu duniani wakaulizwa ikiwa waislam wa tz wanekumbwa na mafuriko wakafa au ugonjwa maalum uliowaua wao tu, mashemasi wakarudi vichwa chini kwa aibu,tangu hapo kipengele Cha dini kwenye sensa kikatolewa,mrema alipokua akigombea urais 1995 si Mara moja alisema waislam wapo zaidi ya 55%,mtei alisema lipumba akitumia vizuri dini yake anashinda urais,wakati pinda alipokua Waziri mkuu,ofisi ya Waziri mkuu ilitoa kalenda inayoonesha waislam ni 35% Kama ulivyosema,ilizua zogo toka kwa kina ponda,sensa ya 2012 sheikh ponda na wenzake wakataka kiwekwe kipengele Cha dini kwenye sensa la sivyo waislam hawatoshiriki,Cha ajabu miongoni mwa walioponga Hilo ni akina kadinali pengo
 
.HAKIKA HAYA HIZI ZINATUAMBIA KUWA TUTAUONA MOTO.

102:1 - Kumekushughulisheni kutafuta wingi,

102:2 - Mpaka mje makaburini!102:3
- Sivyo hivyo! Mtakuja jua!

102:4 - Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua!

102:5 - Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini,

102:6 - Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu!

102:7 - Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini.

102:8 - Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema
 
Si unaona chuki hizo mbona nyie mnapo ambiwa mtapewa asari na maziwa bila kuepo na ngombe kule na nyuki mbona ushangai.....jinga kabisa
andiko gani hilo la asalina maziwa(jibu ) maana mi ninavyojua kule ni roho tu bila mwili ni kusifu milele
 
Wanaisoma quran kimazoea kama biblia, wanaleta aya nusu zenye ujumbe nusu kujaribu kupoteza ukweli

QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????

JIBU NI SHETANI.

SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
 
haya maneno alikua anaongea nani
 
Hidadi ya Waislamu Tanzania hiyo inajulikana tu, kwamba ndo majority tena sio simple majority tu, hi suala hili wengi wapiga kelele hawataki kilisikia, na kila siku waislamu wana ongezaka, na mji ambao haijawahi kua ya waislamu waislamu wameongezeka kama Mwanza. Arusha, Mbeya Babat nk hidadi ya waumini wa Islamu na misikiti mjini inaogezeka kwa kasi, ishara ya kuonyesha ukyaji wa uislamu nchini Tz.
 
h
izi data na twakwimu umezitoa wapi?
 
Kiswahili hujui,kuzaini ni kuzaa!!?..
Qur'an 15:39
Akasema ibilisi "Mola wangu,kwa sababu ya vile ulivyonipoteza na kunipotosha,nitawapumbaza vizazi vya Adam kukuasi katika ardhi......
Kama shule ulipita,soma kwa kiingereza halafu tuambie neno zaeni limetoka wapi
Qur'an 15 39
My Lord in the manner You misled me to error,I will make things on earth seen attractive to them and lead all them to error
Neno kuzaa liko wapi hapo!?
 
Mnapenda kuwa wengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…