Mafundisho haya ya Yesu Yameimarisha Imani yangu Kwa YESU!
Unabii Huu Umetimia na kuushuhudia Kwa Macho yangu!
[emoji116][emoji116]
Matthew 7:13-16
[13]Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.
[14]Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
[15] Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
[16] Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?
HALLELUJAH![emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji106]
Sent from my vivo Y67 using
JamiiForums mobile app