Idadi ya Waislamu duniani yafikia Bilioni mbili mwaka 2023

Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni[emoji91]
[emoji1370][emoji1370]

وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!
[emoji1370][emoji1370]
Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni linil[emoji101]

Hosea 4:6
[6]My people are destroyed for lack of knowledge: because thou hast rejected knowledge, I will also reject thee, that thou shalt be no priest to me: seeing thou hast forgotten the law of thy God, I will also forget thy children.
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
 
Furaha ya ukweli haipo mfukoni, ipo rohoni (spiritually).
Ilimu ya Roho hamkupewa bibie!
[emoji116][emoji116]
وَيَسْأَلُونَكَ عَنِ الرُّوحِ ۖ قُلِ الرُّوحُ مِنْ أَمْرِ رَبِّي وَمَا أُوتِيتُم مِّنَ الْعِلْمِ إِلَّا قَلِيلًا

[ AN NAH'L - 85 ]
Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.

Kwa kukariri mmefuzu![emoji122][emoji122][emoji123]
 
Kwanini bongo wakati wa sensor hawataki kiwepo kipengele cha dini?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Tuanze kwa ku define neno muislam. Kuitwa kasimu au Halima hakumfanyi MTU kua muislamu.
Muislamu Ni MTU ambaye anaswali angalau Mara mbili kwa siku, MTU anayefunga ramadhani, MTU anayetoa zaka, MTU mwenye wake zaidi ya mmoja.
Kina kasimu na Halima wengi tu ambao hawaijui mskiti Wala hawafungi.
Kama wsmehesabu na hao waislamu jina, sawa idadi inaweza kufika.
 
We dini gani ambayo inanyanyasa wanawake kwa kuwaozesha 4 kwa mme moja?

Dini gani ambayo haitaki wanawake wasome?

Dini gani inawaambia wanawake wajifunike minguo myeusi?

Dini gani ambayo inawaambia watu waue wenzao?
Inashangaza sana mkuu.

Kwenye unyanyasaji wa wanawake haikufikia hapo tu, kubwa kuliko ikasema huko peponi mwanaume mmoja atapewa wanawake mabikra 72. Daah! Inasikitisha kwakweli
 
Idadi ya wayahudi iko ngapi? Na inakuwaje? Ni kweli, tunaamriwa kuza na kuongezeka. Ila tunawajibika kwa uzazi wetu. Dunia hadaa, ulimwengu shujaa.
Tusije kujaza watu ambao watakuwa watumwa wa wengine wachache, kwa kukosa maarifa na weledi wa kuishi maisha ya staha duniani
 
Ningependa kufahamu faida mliyoipata baada ya waislamu kuongezeka
Na ndo lengo lao always. Ili waitawale dunia eti. Na ndo hiyo policy ya kuoa wake wanne ili wazaane sana. Hapo wanazamia ulaya wanakowakandia na wanalazimisha na wao sheria zao kwa watu[emoji23][emoji23]
 
🤔
 
Tunawakaribisha Kwenye njia ya kweli na uzima , hili neno lilitamjwa Miaka 600 kabla ya uislamu kuanza,

Yohana Mtakatifu 14:6-7​

Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
 
Mfano mdogo tu kwa hapa dar wao ndio wapiga debe Wala unga makonda wa daladala waendesha guta waokota chupa za maji. Yaani wameujaza mji halafu hamna la maana wanalo fanya stupid
 
Duuh elimu ya Roho hamkupewa ilimu dunia mnanyimwa![emoji24][emoji24][emoji24]
Ref!; afghanistan!
[emoji116][emoji116]

Mafundisho haya ya Yesu Yameimarisha Imani yangu Kwa YESU!
Unabii Huu Umetimia na kuushuhudia Kwa Macho yangu!
[emoji116][emoji116]
Matthew 7:13-16
[13]Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.

[14]Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.

[15] Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.

[16] Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

HALLELUJAH![emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji106]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…