Idadi ya Wamasai inaongezeka. Je, idadi ya nyumbu na wanyama wengine haiongezeki? Kwanini Wamasai wasiongezeke, wao sio binadamu?

Idadi ya Wamasai inaongezeka. Je, idadi ya nyumbu na wanyama wengine haiongezeki? Kwanini Wamasai wasiongezeke, wao sio binadamu?

Enjoy your Valentine's
Leo jifanyie kitu kidogo chenye gharama kwaajili ya upendo wa kujipenda
Bahati mbaya au nzr mm siyo mtu wa kusherekea mambo kama haya
Nikipiga mtungi tu kwangu tosha

Ova
 
Bahati mbaya au nzr mm siyo mtu wa kusherekea mambo kama haya
Nikipiga mtungi tu kwangu tosha

Ova

Sio ufanye sherehe. Jifanyie kitu unachokipenda
Unaweza hata kujinunulia private jet🔥🔥🔥
 
Hilo ni eneo la wanyama
Mbona nyie binadam mnataka kujifanya
Kama mna hati miliki ya dunia hii
Ondokeni huko wabaki wanyama na wajiachie

Ova
Mzee wa Kino nakubaliana nawe. Wanyama wakiona binadamu maeneo ya jirani huwa wanahama. Zamani hadi mwanzoni mwa miaka ya 90 ilikuwa ukitoka tu kidogo nje ya Arusha mjini unaanza kuona Mbuni kibao na wanyama wengine ila kutokana na shughuli za binadamu kuongezeka wale wanyama ukibahatika kuwaona ni kuanzia makuyuni zaidi ya kilometa 70 toka town. Kwahiyo ongezeko la Masai lina madhara kwa wanyama. Pia wamasai wanazidi kuwa wajanja kwa kujenga nyumba za kisasa na kupoteza ule uhalisia unaofanya wazungu watoke ulaya kuja kuona boma za masai na pia kashfa ya baadhi kula nyamapori siku za karibuni. Kule Loliondo ni kweli Mzee Mwinyi aliuza eneo la nchi na kuwamilikisha waarabu. Kile kipande cha nchi sio Tanzania. Pale ni UAE. Wewe mrangi kama hujawahi kufika uarabuni nenda tu Loliondo utakuwa umefika na kuokoa gharama.
 
Suala na Ngorongoro ni moja ya kipimo cha akili za Watanzania.

Ardhi yote ya Tanzania inatumika kwa mujibu wa Sheria na Sera za Ardhi, lakini, kinachosemwa ni maneno na kelele zisizo na hoja.

Yaani kila mtu anaongea lake bila kutoa ufafanuzi wa kueleweka.

Hapa ninaona mpambano kati ya waandishi na wale wanaojiita wazawa wa Ngorongoro na Umasaini.

Waziri amejibu lakini sikumuelewa maana alisema hakuna kabila linamiliki ardhi peke yake bali ardhi ni ya wote. Hili jibu nilishindwa kulioanisha na mgogoro wa Ngorongoro yaani halijitoshelezi.
 
Mzee wa Kino nakubaliana nawe. Wanyama wakiona binadamu maeneo ya jirani huwa wanahama. Zamani hadi mwanzoni mwa miaka ya 90 ilikuwa ukitoka tu kidogo nje ya Arusha mjini unaanza kuona Mbuni kibao na wanyama wengine ila kutokana na shughuli za binadamu kuongezeka wale wanyama ukibahatika kuwaona ni kuanzia makuyuni zaidi ya kilometa 70 toka town. Kwahiyo ongezeko la Masai lina madhara kwa wanyama. Pia wamasai wanazidi kuwa wajanja kwa kujenga nyumba za kisasa na kupoteza ule uhalisia unaofanya wazungu watoke ulaya kuja kuona boma za masai na pia kashfa ya baadhi kula nyamapori siku za karibuni. Kule Loliondo ni kweli Mzee Mwinyi aliuza eneo la nchi na kuwamilikisha waarabu. Kile kipande cha nchi sio Tanzania. Pale ni UAE. Wewe mrangi kama hujawahi kufika uarabuni nenda tu Loliondo utakuwa umefika na kuokoa gharama.
Ngorongoro itapotea na hapo watabakia wamasai tu
Sasa ngorongoro ikipotea/ikifa tanzania haitakuwa na ngorongoro tena

Ova
 
Mgogoro WA ilo eneo Una mkono WA watu nyuma na yote ni sababu ya wenye pesa kutaka kumiliki vitalu Ila ubaya waaandishi waabari wengi ni watu wa kupewa habari siyo kufatilia na kutoa habari za kiuchumguzii kujua in and out madhara ya kibinaadamu yanatokea eneo lolote Ila serikali ilikuwa na wajibu wa kuwaongoza wamasai vipi waishi na vipi wayatunze mazingira Kwa kuweka programs mbalimbali Ila sababu saivi wenye pesa Wana kauli basi
 
Back
Top Bottom