idadi ya wanafunzi mwaka wa kwanza watakaopata mkopo

idadi ya wanafunzi mwaka wa kwanza watakaopata mkopo

jimmymziray

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
816
Reaction score
515
Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) limekutana mwishoni mwa wiki iliyopita kwa kikao cha siku mbili kujadili taarifa za kiutendaji za taasisi hiyo kwa lengo la kuangalia mafanikio na changamoto wanazozikabili na kuweka mikakati ya kuongeza kuboresha utoaji wa mikopo ya wanafunzi.
Katika waka ujao wa masomo 2013/2014 utakaoanza Oktoba 2013, Bodi inatarajia kukopesha wanafunzi 98,025 nak ati ya hao, wanafunzi 35,649 ni wa mwaka wa kwanza.
 
swali langu; hadi sasa hvi ni wanafunzi wangapi wa first year wameshapata chuo through tcu..!
 
Waliochaguliwa na tcu cdhani kama wanafika 40000
 
Kunatetesi kuwa bum litaongezwa, ikiwa n mkakati wa sisiemu kujisafisha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili tuwapigie kura 2015
 
Kunatetesi kuwa bum litaongezwa, ikiwa n mkakati wa sisiemu kujisafisha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili tuwapigie kura 2015

Ntafurah sana..ila Kwenye 'SECRET BALLOUT' ha2takuwa wote
 
Kuna uwezekano mkubwa kwa wote mlioomba kwa tcu mkapata mkopo japo wa asilimia sufuri (0%) ikiwa na maana ya boom kwa vile idadi ya watakaopata,kwa mujibu wa heslb inawiana kwa karibu na idadi ya waliochaguliwa kuingia vyuoni,achiia mbali hao %20 ambao hawajaomba mkopo,na wale wanaolipiwa na baadhi ya wizara kama wizara ya afya kwa wale wa udaktari
 
Back
Top Bottom