jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Kunatetesi kuwa bum litaongezwa, ikiwa n mkakati wa sisiemu kujisafisha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili tuwapigie kura 2015
Kunatetesi kuwa bum litaongezwa, ikiwa n mkakati wa sisiemu kujisafisha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili tuwapigie kura 2015
wameboresha kwa siku elfu 10 au bado 2naendeleza elf 7500
watuongezee tu, ila kura wasahau.
kwani mgomo tayari?
unaonaje ukianzisha!
sidhani kama atabaki mtu pale HESLB
aahahaaaa! jeshi la mtu mmoja au sio!
one man ARMY
ongea polepole wasije wakasikia wenyewe! teh!