ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
200,000 yote yake?
matibabu je?
vocha
viwalo vya kutupia kimjini
sub hoofer tv kingamuxi na nauli kutoka nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
200,000 yote yake?
matibabu je?
vocha
viwalo vya kutupia kimjini
sub hoofer tv kingamuxi na nauli kutoka nyumbani
matibabu je?
vocha
viwalo vya kutupia kimjini
sub hoofer tv kingamuxi na nauli kutoka nyumbani
tupa kule
ntafurah sana..ila kwenye 'secret ballout' ha2takuwa wote
ongea polepole wasije wakasikia wenyewe! teh!
Mkuu kwa bajeti umetisha!! Utafikri enzi ya Mkulo!! Hivi hao mashemeji huko hatunyang'anyani kweli? Yale majamaa yetu yanayotoka kazini si yatatujeruhi?mbona shemeji yetu hujamweka au yeye hahusiki?
Shemeji yupo kwebye fungu la stationery
Mkuu kwa bajeti umetisha!! Utafikri enzi ya Mkulo!! Hivi hao mashemeji huko hatunyang'anyani kweli? Yale majamaa yetu yanayotoka kazini si yatatujeruhi?
hizo ni kama mbio za vijiti ukichoka kukimbia nacho anakimbiza mwenzio
mIMi % zangu zipo mashaka juu yako!!
Mkuu kwa bajeti umetisha!! Utafikri enzi ya Mkulo!! Hivi hao mashemeji huko hatunyang'anyani kweli? Yale majamaa yetu yanayotoka kazini si yatatujeruhi?
Chuo ni heri utafute milupo lakini hawa wa kuitana boyfriend na girlfriend miyeyusho tu
Chuo ni heri utafute milupo lakini hawa wa kuitana boyfriend na girlfriend miyeyusho tu
duuh noumer sanaaaa
huyu teacher oil sumu ana uhaka mwambie!sawa teacher..!
huyu teacher oil sumu ana uhaka mwambie!