Idadi ya wanajiongelesha wenyewe imekuwa kubwa sana. shida ni nini?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nimeanza kushikwa wasiwasi hata Lucas mwashamba inawezekana mada zake zikawa anajiongelesha mwenyewe.

Ukiwa unatembea mtaani au njiani watu wengi unakuta wanajiongelesha wenyewe unaweza kusema wameweka maskioni zile earphone lakini sio.

Leo nimekutana na mtu jioni hii sijui swahumu imekuwa kali akijiongelesha na kucheka mwenyewe kwa mbali na sikia akimtaja Samia,CCM mara Yanga.

Nilipo mshitua kama nime stop akili yake kwanza
 
Leo nimekutana na mtu jioni hii sijui swahumu imekuwa kali akijiongelesha na kucheka mwenyewe kwa mbali na sikia akimtaja samia,ccm mara yanga.

[emoji16][emoji16] Ongezeko ni kubwa sana
 
Kuna jamaa nilimkuta anajiongelesha anasema "pesa,pesa iko wapi, iko wapiiiiiii"🤣

Nilipomshitua akajitetea kusema alikuwa anaongea na simu

Kama huu mwisho wa mwezi Mfano mimi kuna mod anajiongelesha anipige ban au laah 🤣🤣maana amevurugwa melo hajatoa mpunga alafu anakuta khele hele chako kinatembea jukwwaaani

Hali ni mbaya mnooo
 
Nchi hii inapata Uhuru ilikuwa na watu milioni 21 tu,hivi sasa nchi inakadiriwa kuwa na watu milioni 70.

@) Ajali zimeongezeka,

Haichukui siku tatu hujasikia ajali iwe Gari kuua,watu kuua wenzao,maporomoko ya vifusi migodini,hata kuangukiwa na nyumba za kawaida

@) Uchumi umeongezeka,

Watu wanajenga majumba, Wana biashara kubwa,na uwekezaji mwingi tu.

@) Mabadiliko ya tamaduni.

Zamani ilikuwa ni mwiko mtoto wa kike kuzaa bila ndoa,ilionekana ni laana kwenye ukoo,lakini siku hizi ni kawaida tu ,utasikia mtu anakwambia ana hamu ya kupata mtoto ikiwa hana mume.

@) Utandawazi

Ni rahisi kukuta mtoto wa kiume anabehave kama demu,ongea,tembea,na movements zote ni kama demu,

Ni rahisi pia kukuta mwanamke ana pigo za kiume ,eti na yeye ana mwanamke wake,lahaula!!!

@)Ni easy kukuta mtu anaongea peke yake.

Hii inasababishwa na haya hapa👇

1. Kuteswa na mapenzi,

2.Biashara au miradi kwenda ndivyo sivyo.

3.Kuweka matumaini kwenye ubashiri halafu results is negatively

4.Umri kusogea,halafu mtu hana ndoa,wala direction yeyote.

Yoooooooooote hayo yanasababishwq na mzizi mmoja tu, high population of people.
 
Kuna jamaa nilimkuta anajiongelesha anasema "pesa,pesa iko wapi, iko wapiiiiiii"🤣

Nilipomshitua akajitetea kusema alikuwa anaongea na simu

Kama huu mwisho wa mwezi Mfano mimi kuna mod anajiongelesha anipige ban au laah 🤣🤣maana amevurugwa melo hajatoa mpunga alafu anakuta khele hele chako kinatembea jukwwaaani

Hali ni mbaya mnooo
Hahahaha
 
Nimeanza kushikwa wasiwasi hata Lucas mwashamba inawezekana mada zake zikawa anajiongelesha mwenyewe.

Ukiwa unatembea mtaani au njiani watu wengi unakuta wanajiongelesha wenyewe unaweza kusema wameweka maskioni zile earphone lakini sio.

Leo nimekutana na mtu jioni hii sijui swahumu imekuwa kali akijiongelesha na kucheka mwenyewe kwa mbali na sikia akimtaja samia,ccm mara yanga.

Nilipo mshitua kama nime stop akili yake kwanza
20240904_122706.jpg
 
Wengi tuliofunga tunafanya istighfar mzee. Ila some tym unaezajishtukia.
 
Nimeanza kushikwa wasiwasi hata Lucas mwashamba inawezekana mada zake zikawa anajiongelesha mwenyewe.

Ukiwa unatembea mtaani au njiani watu wengi unakuta wanajiongelesha wenyewe unaweza kusema wameweka maskioni zile earphone lakini sio.

Leo nimekutana na mtu jioni hii sijui swahumu imekuwa kali akijiongelesha na kucheka mwenyewe kwa mbali na sikia akimtaja Samia,CCM mara Yanga.

Nilipo mshitua kama nime stop akili yake kwanza
chai ya rangi
 
Na bado mpaka 2030 hakuna rangi CCM wataacha kuwaonyesha
 
1. Madeni ya kausha damu.
2. Kuwa kwenye mhusiano kama ya simba na nyati.
3. Kukosa ajira na kuzurura kama stray dog.
4. Ulevi kama wa Pampula.
5. Kutuma nauli na mzigo usifike.
6. Kutamani maisha ya kitajiri ya mitandaoni a.k.a chifugodilovu.
7. Mafao kuisha na nyumba ndio ipo kwenye linta.
8. Mikeka ya Mhindi kuchanika.
 
Back
Top Bottom