Idadi ya wanajiongelesha wenyewe imekuwa kubwa sana. shida ni nini?

kuongea mwenyewe inasaidia nikiwa na stress ama hasira zinashuka, mda mwingine nikatiba kazuri.
 
Nimeanza kushikwa wasiwasi hata Lucas mwashamba inawezekana mada zake zikawa anajiongelesha mwenyewe.

Ukiwa unatembea mtaani au njiani watu wengi unakuta wanajiongelesha wenyewe unaweza kusema wameweka maskioni zile earphone lakini sio.

Leo nimekutana na mtu jioni hii sijui swahumu imekuwa kali akijiongelesha na kucheka mwenyewe kwa mbali na sikia akimtaja Samia,CCM mara Yanga.

Nilipo mshitua kama nime stop akili yake kwanza
😁😁🤣 Yaani alikuwa anaona raha sana kuwaza kijani kijani na njano njano ukamshitua!

Utakuja kuua!
Watu hao hawashituliwagwi, ukikutana naye potezea kama haujasikia kitu.
 
  • Kicheko
Reactions: Fbn
Ukiona mtu anaongea mwenyewe ujue huyo ni MJASIRIAMALI na hapo yuko kwenye KIKAO cha ofisi anajadili mambo mbalimbali, anafukuza watu kazi, anagombeza watumishi wazembe nk.
 
Nimeanza kushikwa wasiwasi hata Lucas mwashamba inawezekana mada zake zikawa anajiongelesha mwenyewe.

Ukiwa unatembea mtaani au njiani watu wengi unakuta wanajiongelesha wenyewe unaweza kusema wameweka maskioni zile earphone lakini sio.

Leo nimekutana na mtu jioni hii sijui swahumu imekuwa kali akijiongelesha na kucheka mwenyewe kwa mbali na sikia akimtaja Samia,CCM mara Yanga.

Nilipo mshitua kama nime stop akili yake kwanza
We utakuwa ni mwehu
 
Hahahaaa
 
Back
Top Bottom