Nchi hii inapata Uhuru ilikuwa na watu milioni 21 tu,hivi sasa nchi inakadiriwa kuwa na watu milioni 70.
@) Ajali zimeongezeka,
Haichukui siku tatu hujasikia ajali iwe Gari kuua,watu kuua wenzao,maporomoko ya vifusi migodini,hata kuangukiwa na nyumba za kawaida
@) Uchumi umeongezeka,
Watu wanajenga majumba, Wana biashara kubwa,na uwekezaji mwingi tu.
@) Mabadiliko ya tamaduni.
Zamani ilikuwa ni mwiko mtoto wa kike kuzaa bila ndoa,ilionekana ni laana kwenye ukoo,lakini siku hizi ni kawaida tu ,utasikia mtu anakwambia ana hamu ya kupata mtoto ikiwa hana mume.
@) Utandawazi
Ni rahisi kukuta mtoto wa kiume anabehave kama demu,ongea,tembea,na movements zote ni kama demu,
Ni rahisi pia kukuta mwanamke ana pigo za kiume ,eti na yeye ana mwanamke wake,lahaula!!!
@)Ni easy kukuta mtu anaongea peke yake.
Hii inasababishwa na haya hapa👇
1. Kuteswa na mapenzi,
2.Biashara au miradi kwenda ndivyo sivyo.
3.Kuweka matumaini kwenye ubashiri halafu results is negatively
4.Umri kusogea,halafu mtu hana ndoa,wala direction yeyote.
Yoooooooooote hayo yanasababishwq na mzizi mmoja tu, high population of people.