Idadi ya wanajiongelesha wenyewe imekuwa kubwa sana. shida ni nini?

kuongea mwenyewe inasaidia nikiwa na stress ama hasira zinashuka, mda mwingine nikatiba kazuri.
 
😁😁🤣 Yaani alikuwa anaona raha sana kuwaza kijani kijani na njano njano ukamshitua!

Utakuja kuua!
Watu hao hawashituliwagwi, ukikutana naye potezea kama haujasikia kitu.
 
Reactions: Fbn
Ukiona mtu anaongea mwenyewe ujue huyo ni MJASIRIAMALI na hapo yuko kwenye KIKAO cha ofisi anajadili mambo mbalimbali, anafukuza watu kazi, anagombeza watumishi wazembe nk.
 
We utakuwa ni mwehu
 
Hahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…