Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Umesahau idadi ya wanaume walioolewa huko US, hao nao hawawezi kuoa.Talaka child support na kuondoka na mali za mwanaume ambazo alizitafuta kwa shida imewakatisha tamaa
Nimecheka SanaπMsiokote okote majitu huwa yanakuja kimkakati.
Deepsea parasites ni wengi mno.
Kwa Mambo yasiyofaa ya Marekani na Ukata hata Mimi sio Tu nisingefunga Ndoa Bali hata Mpenzi nisingekuwa naye.Siyo poa Wakuu! Idadi ya Wanaume Vijana Wasiooa Marekani Yafikia Milioni 30.4
Dondoo
Idadi ya wanaume wenye umri wa miaka 20 hadi 39 ambao hawajaoa nchini Marekani imeongezeka kwa kiasi kikubwa, huku takwimu zikionyesha kuwa mwaka 2025, wanaume milioni 30.4 wenye umri wa miaka 20 hadi 39 hawakuwa wameoa, ikilinganishwa na wanaume milioni 20.7 mwaka 2000.
- Ripoti ya mwaka 2026 imeonyesha kuwa mwaka 2025, wanaume milioni 30.4 wenye umri wa miaka 20β39 nchini Marekani hawakuwa wameoa, ikilinganishwa na milioni 20.7 mwaka 2000. Hilo ni ongezeko la takriban 47% ndani ya miaka 25.
- Wakati huohuo, takwimu za U.S. Census Bureau zinaonyesha kuwa Wamarekani wanaingia kwenye ndoa wakiwa na umri mkubwa zaidi. Mwaka 2025, umri wa wastani wa ndoa ya kwanza ulikuwa miaka 30.8 kwa wanaume na 28.4 kwa wanawake.
Hilo ni ongezeko la karibu asilimia 50 katika kipindi cha miaka 25. Mwenendo huo unakuja wakati Wamarekani wengi wanachagua kuingia kwenye ndoa wakiwa na umri mkubwa zaidi, huku vijana wengi wakibaki bila ndoa katika miaka yao ya 20 na 30.
Hata hivyo, kutokuwa umeoa hakumaanishi moja kwa moja kuwa mwanaume hana mwenza au hayuko kwenye uhusiano. Mabadiliko hayo yanaonyesha namna uchumba, mahusiano na ndoa vinavyoendelea kubadilika miongoni mwa kizazi kipya nchini Marekani.
Masharti ni mengi kama vile Una Deal na madawa ya kulevya, Wanaume wamewasusaSheria za mahusiano zinamdidimiza sana mwanaume
Ukichangia na kampeni za jinsia moja, hiyo ndio imeharibu kabisha.Masharti ni mengi kama vile Una Deal na madawa ya kulevya, Wanaume wamewasusa
Bush Dokta Equation x Waufukweni sio kwamba ni kwasababu siku izi wanawake wengi wameweka pesa mbele π ndo maana most men wanasita kuoa (commercialization of relationships)Sheria za mahusiano zinamdidimiza sana mwanaume
Wanaomba hela sana, huku wao hawana cha kukupa zaidi ya kipago tu.Bush Dokta Equation x Waufukweni sio kwamba ni kwasababu siku izi wanawake wengi wameweka pesa mbele π ndo maana most men wanasita kuoa (commercialization of relationships)
Hawa wanawake wa siku izi ukipiga cost benefit analysis ya kuwa nao kwenye mahusiano, hauoi, labda tu mtu ujitoe ufahamu
Kihasibu ni hasara, lakini kijamii( sociolojia) kuna faida nyingiBush Dokta Equation x Waufukweni sio kwamba ni kwasababu siku izi wanawake wengi wameweka pesa mbele π ndo maana most men wanasita kuoa (commercialization of relationships)
Hawa wanawake wa siku izi ukipiga cost benefit analysis ya kuwa nao kwenye mahusiano, hauoi, labda tu mtu ujitoe ufahamu