Idadi ya Wanaume wasiooa Marekani imeongezeka kwa karibu asilimia 50, kiwango cha juu zaidi

Idadi ya Wanaume wasiooa Marekani imeongezeka kwa karibu asilimia 50, kiwango cha juu zaidi

Hata mimi ningeishi marekani nisingeoa maana huko thmani ya ndoa hakuna ,familia ya kambale! Hakuna majukumu ya mke kupika ,kufua,kufagia etc kama ilivyo huku kwetu africa ,huko mwanamme unapika ,unafua ,sasa nione kwasababu gani kama kazi zote nafanya mimi?
Na bado umuhudumie wewe na akifanya kusitisha Ndoa anaenda mahakamani bila kujali muda wako uliopoteza wala Mali zako, hata Mimi nisingeoa
 
Ukichangia na kampeni za jinsia moja, hiyo ndio imeharibu kabisha.
Mambo yanzidi kuwa magumu zaidi, kwa Wamarekani na wa Ulay niliofanikiwa Kuishi nao aisee Wana taabu Sana Wanaume, stress mtindo mmoja, Raha ya mapenzi hawana kabisa
 
Back
Top Bottom