idadi ya wanawake wanaojilipia mahari, kufanya sherehe kwa garama zao wanazidi!!!

Ndo kusema wanawake wanaoa au wanaolewa kama mtindo ndo huu, je nani atavaa shela??

mnadai kusaidiwa...wanawake wasibweteke ...wakiwasaidia mnaleta maneno ooh wanaoa .,,wanajitolea mahari..

km hubby hana pesa shda i wap kumta tafu kakamume wangu?
 
Jamani ulaya kwa mfano wazungu wa Ireland na uk mwanamke na familia yake ndio wanaogharamia harusi labda siku hizi ndio wanaume unakuta wanasaidiana na wanawake wao kupanga harusi ila traditionally mwanamke I mean wazazi wake ndio ngoma yao.
 
hilo ni kweli limetokea kwetu dadangu alimpa mume wake pesa ya mahari ila sio nzuri nature mwanaume ndo anatakiwa kufanya hilo ,hakuna mwanaume atakayeshindwa kulipa nusu ya mahari kama ana dhamira safi ya kuoa na anachpa kazi
 
na kwanini haswa nilipe nusu!?nitaweka hata kwenye 'kibubu' even for years hadi zitimie lakini sio 'uniongezee' hela ya kukutolea mahari,kununua shela,pete(zote,engagement na wedding)!.kama ni ndoa basi bora isiwepo aisee!!
 
kumbe tukogo wengi ee, maana mimi nilimnunulia mchumba wangu engage ring kwa gharama zangu anivalishe watu wakachonga sana na bado nikamnunulia suti ya harusi na viatu kwa gharama zangu na shela nikajinunulia na pete 2 za ndoa yake na yangu kwa gharama zangu na bado sherehe nikaigharamia mwenyewe, japokuwa mahari nilimsamehe, na sasahivi naishi naye kwangu kinyelezi nilikojenga mwenyewe na gari langu nimempa aweanatembelea na anakula juu yangu na hela ya matumizi nmpaga maana hajira haijamkalia fresh bado sioni shida yoyote maana kanipenda nimempenda kwahiyo ndio tuseme kuna tatizo hapo? mimi sioni kama shida hapo Jamani cha msingi tumefunga ndoa
 
Mweh.....!!!! Kwa hiyo nami bora nirudi kule eeh...
 
tupatie takwimu ili tuweze kujiridhisha na threads yako. tusije tukakurupuka kuchangia bure. maana kwa mazingira ya kwetu bongo inawezekana hiyo ikawa ni percentage ndogo katika ndoa zote. mhhhh,sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!
Monica na Josse Mara haya endelea kuanziahapo
 
Back
Top Bottom