St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Duuuh
Since when mkuu???
Hii kali . . . hizo ahadi zimekutisha nini mkuu???
2001 mpaka leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh
Since when mkuu???
Hii kali . . . hizo ahadi zimekutisha nini mkuu???
Ukimwambia utoe mahari mwenyewe anasemaje?
Hii ya mwanamke kujitolea mahari sijawahi kuisikia!!
Ndo kusema wanawake wanaoa au wanaolewa kama mtindo ndo huu, je nani atavaa shela??
Mhh kuwa uyaona haya
Hawaoi wala hawaolewi.
Wanaoana.
Mpaka leo anakwenda kusalimia mama yangu na ameahidi hatoolewa kama sintofanya hivyo mimi..
hilo ni kweli limetokea kwetu dadangu alimpa mume wake pesa ya mahari ila sio nzuri nature mwanaume ndo anatakiwa kufanya hilo ,hakuna mwanaume atakayeshindwa kulipa nusu ya mahari kama ana dhamira safi ya kuoa na anachpa kazi
kumbe tukogo wengi ee, maana mimi nilimnunulia mchumba wangu engage ring kwa gharama zangu anivalishe watu wakachonga sana na bado nikamnunulia suti ya harusi na viatu kwa gharama zangu na shela nikajinunulia na pete 2 za ndoa yake na yangu kwa gharama zangu na bado sherehe nikaigharamia mwenyewe, japokuwa mahari nilimsamehe, na sasahivi naishi naye kwangu kinyelezi nilikojenga mwenyewe na gari langu nimempa aweanatembelea na anakula juu yangu na hela ya matumizi nmpaga maana hajira haijamkalia fresh bado sioni shida yoyote maana kanipenda nimempenda kwahiyo ndio tuseme kuna tatizo hapo? mimi sioni kama shida hapo Jamani cha msingi tumefunga ndoa
Monica na Josse Mara haya endelea kuanziahapotupatie takwimu ili tuweze kujiridhisha na threads yako. tusije tukakurupuka kuchangia bure. maana kwa mazingira ya kwetu bongo inawezekana hiyo ikawa ni percentage ndogo katika ndoa zote. mhhhh,sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!