Idadi ya waokota makopo Dar imeongezeka kwa kasi

Hakuna cha watu wa system wala nn,maisha ni magumu sana na watu hawana option nyingine zaidi ya kufanya kazi za namna hiyo.Jamani tukubali tu life kwa raia wa kawaida kwa sasa ni gumu sana tuko mtaani tunashuhudia.Nina list ya watu takriban 6 wote wanahitaji niwakopeshe na sijawahi experience idadi kubwa hivi!! Hali ya kiuchumi sio nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…