Idadi ya wapenzi..

Idadi ya wapenzi..

Inasemekana kuwa wanawake walio wengi wamekuwa wakitembea na wanaume zaidi ya kumi kabla ya kuolewa. Idadi ya wanaume imekua ikiongeza siku hadi siku. Takwimu zinaonyesha hadi kufikia hatua ya kuoa/ kuolewa wanawake huwa wamekwisha kutembea/ na wanaume wengi zaidi ya wanawake/ mwanaume anaokuwa ameshawahi kuwa nao kimapenzi. SWALI:- MPAKA KUFIKA UMRI ULIO NAO USHAWAHI KUWA NA WAPENZI WANGAPI NA UNATEGEMEA KUONGEZA WANGAPI MPAKA KUOA/KUOLEWA?



OK.... sasa nawe umefikisha wangapi? labda tuanze na wewe kwanza kabla ya kunyoshea wengine vidole
 
kwa mwanaume kutembea na wanawake 30 kabla ya ndoa ni kawaida sana, mimi niliotembea nao bila kondom ni 19 na kondon sikumbuki
 
mh labda ni wapange kwa location ndo naweza pata idadi kamili

dar 5

Mwanza 6

ntaendelea baadae
 
Idadi kamili sikumbuki ila yazidi 20 na bado ninampango wa kufikisha at least 50.
 
Sio kutembea nao tu, pia nimekimbia nao wengi sana tu. Kwa mfano sasa hivi nipo mtaa wa Kongo, ninaotembea nao kwa sasa tu siwezi jua idadi yao.

Je mwenzangu wewe umewahi tembea na wangapi?

hahhahahaaaaa mbavu zangu loh....
 
sikumbuki ni wangapi....na hata wengine majina nimesahau....nikiwaona nabaki kuuliza anaitwa nani.......
 
Nilio approach siwakumbuki kivile lakini niliodu nao ni Mmoja ambaye ni Bibi kizee alinitaka namsafishie mashine yake.
 
sikumbuki ni wangapi....na hata wengine majina nimesahau....nikiwaona nabaki kuuliza anaitwa nani.......

inabidi kuwauliza kwa upole: 'ooops excuse me, kama nakufananisha vile.... uliwahi kuni... siku moja pale lamada eeh.... sorry kama nimekosea, si unajua tena ishakuwa muda kitambo teh teh'
 
Back
Top Bottom