BornTown
JF-Expert Member
- May 7, 2008
- 1,716
- 482
Inasemekana kuwa wanawake walio wengi wamekuwa wakitembea na wanaume zaidi ya kumi kabla ya kuolewa. Idadi ya wanaume imekua ikiongeza siku hadi siku. Takwimu zinaonyesha hadi kufikia hatua ya kuoa/ kuolewa wanawake huwa wamekwisha kutembea/ na wanaume wengi zaidi ya wanawake/ mwanaume anaokuwa ameshawahi kuwa nao kimapenzi. SWALI:- MPAKA KUFIKA UMRI ULIO NAO USHAWAHI KUWA NA WAPENZI WANGAPI NA UNATEGEMEA KUONGEZA WANGAPI MPAKA KUOA/KUOLEWA?
OK.... sasa nawe umefikisha wangapi? labda tuanze na wewe kwanza kabla ya kunyoshea wengine vidole