Baada ya kupitia takwimu ya sensa 2022 ina jumla ya wananchi wapatao 61 mil. Na inaonyesha watoto wa Tanzania bara ni 29.365 mil sawa na 49.1%
Waziri TAMISEMI ameripoti idadi ya wapiga kura 31 mil. Hii inamaana kuwa watu wote wenye umri wa miaka 18+ sawa na 100% wamejiandikisha kupiga kura. Hii haiwezekani kwa namna yoyote, mifano Iko wazi kuwa watu ni wengi ambao hawajajiandikisha.
Hata kama ni kudanganya huu uongo umezidi sana na TLS watumie wajibu wao kuusimamisha uchaguzi huu.