Hofu ni kuwa na uchaguzi batili usio huru na haki. Haiingii akilini watu Tanzania bara ni mil 59+ ukitoa watoto mil 29+ unabaki na mil 30. Halafu walioandikishwa ni mil 31+Mkuu hofu yako ni ipi kwenye iyo idadi ya watu waliojiandikisha?
Toka 2022 mpaka sasa kuna watoto walikuwa chini ya umri wa miaka 18 na sasa wametimiza miaka 18 na ndio hilo ongezeko
Hata kama hoja hii ikiwekwa ktk mizania Bado ni haiwezi sawazisha ziada kubwa ya watu.Toka 2022 mpaka sasa kuna watoto walikuwa chini ya umri wa miaka 18 na sasa wametimiza miaka 18 na ndio hilo ongezeko
Sensa ilikua mwaka 2022 uandikishaji umefanyika 2024 kuna miaka mieili ya ziada hapo ambao walihesabiwa watoto (chini ya miaka 18) mwaka 2022 mwaka huu baadhi yao wametimiza miaka 18 hivyo kuwa na sifa ya kuandikishwa kupiga kura. Tatuzo liko wapi hapo? Mbona ni logic tu hata ya elimu ya msingi inatosha kuelewa....Baada ya kupitia takwimu ya sensa 2022 ina jumla ya wananchi wapatao 61 mil. Na inaonyesha watoto wa Tanzania bara ni 29.365 mil sawa na 49.1%
Waziri TAMISEMI ameripoti idadi ya wapiga kura 31 mil. Hii inamaana kuwa watu wote wenye umri wa miaka 18+ sawa na 100% wamejiandikisha kupiga kura. Hii haiwezekani kwa namna yoyote, mifano Iko wazi kuwa watu ni wengi ambao hawajajiandikisha.
Hata kama ni kudanganya huu uongo umezidi sana na TLS watumie wajibu wao kuusimamisha uchaguzi huu.
Kuna watu hujitoa akili makusudiToka 2022 mpaka sasa kuna watoto walikuwa chini ya umri wa miaka 18 na sasa wametimiza miaka 18 na ndio hilo ongezeko
Ungefuatilia kwanza ukajua ni level gani ya umri ina watu wengi. Nyie si ndo mnasema gen Z mpo wengi, au mnakua wengi kwenye fujo tu?Hata kama hoja hii ikiwekwa ktk mizania Bado ni haiwezi sawazisha ziada kubwa ya watu.
Hesabu tu ya kawaida ni kwamba watu wote bara ni mil 59 ukitoa hao watoto kati ya 0- 17 ni mil 29 unabakiwa na watu wazima wapiga kura mil 30 kama hapa napo hakuna waliofariki au walio hospitalini. Daftari lina mil 31+ maana yake ni kwamba wale wote mil 30 wakiwemo waliokufa na walio hosp wameandikisha kisha ongeza na mil 1.5 vijana wote waliofikisha miaka 18. Hii haiwezekani.
Hofu yake ni kuwa kama wameweza kupika takwimu za waliojiandikisha watashindwaje kupika takwimu za idadi ya kura? Trash in trash out. Kitendo cha kuweka takwimu za uongo tayari kimeharamisha uchaguzi mzima.Mkuu hofu yako ni ipi kwenye iyo idadi ya watu waliojiandikisha?
Uhalisia unakataa!!!!!?Sensa ilikua mwaka 2022 uandikishaji umefanyika 2024 kuna miaka mieili ya ziada hapo ambao walihesabiwa watoto (chini ya miaka 18) mwaka 2022 mwaka huu baadhi yao wametimiza miaka 18 hivyo kuwa na sifa ya kuandikishwa kupiga kura. Tatuzo liko wapi hapo? Mbona ni logic tu hata ya elimu ya msingi inatosha kuelewa....
Acha kujitoa akili.Sensa ilikua mwaka 2022 uandikishaji umefanyika 2024 kuna miaka mieili ya ziada hapo ambao walihesabiwa watoto (chini ya miaka 18) mwaka 2022 mwaka huu baadhi yao wametimiza miaka 18 hivyo kuwa na sifa ya kuandikishwa kupiga kura. Tatuzo liko wapi hapo? Mbona ni logic tu hata ya elimu ya msingi inatosha kuelewa....
1. Binafsi ilinigharimu siku Tatu nawafukuzia watu wa sensa waje wanihesabu! Nilifanikiwa kuhesabiwa. Katika mazingira hayo unategemea kitu gani?Waziri TAMISEMI ameripoti idadi ya wapiga kura 31 mil. Hii inamaana kuwa watu wote wenye umri wa miaka 18+ sawa na 100%
Counter hoja zao badala ya kuwashambuliaKuna watu hujitoa akili makusudi
Chichiem mbele kwa mbele.Baada ya kupitia takwimu ya sensa 2022 ina jumla ya wananchi wapatao 61 mil. Na inaonyesha watoto wa Tanzania bara ni 29.365 mil sawa na 49.1%
Waziri TAMISEMI ameripoti idadi ya wapiga kura 31 mil. Hii inamaana kuwa watu wote wenye umri wa miaka 18+ sawa na 100% wamejiandikisha kupiga kura. Hii haiwezekani kwa namna yoyote, mifano Iko wazi kuwa watu ni wengi ambao hawajajiandikisha.
Hata kama ni kudanganya huu uongo umezidi sana na TLS watumie wajibu wao kuusimamisha uchaguzi huu.