Idadi ya Watalii Wanaoshuka "KIA" Yazidi Kuongezeka

Mnajiandaa kuuza KIA kwa waarabu wa QATAR hizi ngonjera za huyo mama MD wa KIA anayetoka kimapenzi na KM UCHUKUZI tunajua habari zenu. Mtauza kiła kitu kwa waarabu.
 
Watu wamelipa hela zote huko nje, huku wamekuja kunya tu. . Ukijiuliza pato la utalii limeongezekaje? Zero.
 
Ilo neno kila siku sio geni ila USD hipo wapi !.
Mmeuza ngorongoro usd hipo wapi !
Mikataba mibovu usd hipo wapi !
 
Ungetoa na takwimu kabla ya Corona ili tujiridhishe na hiyo impact ya loyo tua!!
 
kawapokea watalii 54 ila kila siku wanashuka watalii 2000
Asante
 
Sikubaliani eti ongezeko kubwa linatokana na filamu ya royal tour. Ziko filamu nyingi tu nzuri na mahiri kuliko royal tour kuhusu vivutio vya tanzania. Isitoshe televisheni ya Tanzania safari iko kwenye satellite inatoa mchango mkubwa kuhusu vivutio vya tanzania. Sababu nyingine safari nyingi ni viporo vya safari zilizoahirishwa wakati wa covid 19.
 
mbona hujazungumzia machawa au na wewe ni sehemu yao
 
Kumbe Chirstina Mwakatobe na wewe ni chawa wa mama kila kitu mama

Naamini pia watalii hawatakereka na vibanda vya makaratasi na Marundo ya taka pembezoni mwa barabara ya Arusha- moshi
kuanzia kikatiti, m.chai, usa, tengeru mpaka Arusha mjini.
 
Apaf
Wapiga debe wengi wa Rais, akili ni kibaba. Wanasema uwongo ambao unatia hata kinyaa. Wanafikiri wote wana kiwango kidogo cha akili kama cha kwao.
Ongezeko la watalii toka 780,000 hadi 927,000 haiwezi kuwa asilimia 42, angesema 20% labda.
 
Kumbe Chirstina Mwakatobe na wewe ni chawa wa mama kila kitu mama

Naamini pia watalii hawatakereka na vibanda vya makaratasi na Marundo ya taka pembezoni mwa barabara ya Arusha- moshi
kuanzia kikatiti, m.chai, usa, tengeru mpaka Arusha mjini.
Ulitaka atajwe mama Yako ndio alikuwepo kwenye royal tour?
 
Mnandanganya huyu maza ilimuendelee kupiga pesa wajinga wakubwa nyie 2019-2021 kulikuwa na corona ulitegemea watalii waje wapi? tumieni akili kidogo, tuambie trend ya watalii before 2019 ilikuwaje?
Before ,namba kubwa Kuwahi fikiwa ni Watalii 1.5mln .

As we speak Watalii wako around 1.8 Kwa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…