Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya kivuko iliyotokea wiki iliyopita katika Ziwa Kariba nchini Zimbabwe imefikia 94, Jeshi la Polisi la Zimbabwe (ZRP) limethibitisha.
Polisi wamesema shughuli za utafutaji na uokoaji bado zinaendelea katika eneo la tukio, huku timu zikiendelea kutafuta watu ambao huenda bado hawajapatikana pamoja na miili ya waathirika.
Awali, polisi waliripoti vifo vya watu 93, kabla ya idadi hiyo kuongezeka hadi 94. Polisi pia walisema waathirika 83 tayari wametambuliwa na ndugu zao, huku miongoni mwa waliopoteza maisha wakiwa ni watoto wadogo.
Kivuko hicho kinachoendeshwa na Wakala wa Maendeleo ya Miundombinu Vijijini nchini Zimbabwe (RIDA) kilipinduka katika Ziwa Kariba tarehe 11 Agosti, wakati kikisafiri kutoka mji wa Kariba kuelekea maeneo ya mbali yenye jamii za wavuvi na kambi za uvuvi.
Kwa mujibu wa taarifa za ZBC News, kivuko hicho kilikuwa kimebeba takribani abiria na mizigo 180 wakati kilipokumbwa na mawimbi makubwa na hatimaye kupinduka.
==============
The death toll from last week's ferry disaster on Zimbabwe's Lake Kariba has risen to 94, the Zimbabwe Republic Police (ZRP) said on Tuesday.
Search teams remain deployed in the area and recovery operations will continue as the authorities seek to locate any people still missing. "The death toll is now 94," the ZRP reported, adding that search efforts would continue to locate "any missing persons or bodies."
The latest figure marks a further increase from the 93 deaths reported by police on Monday. In an earlier statement, the ZRP said 83 of the victims had been identified by their relatives. The victims include a number of young children.
The ferry, operated by Zimbabwe's Rural Infrastructure Development Agency (RIDA), capsized on Lake Kariba on August 11 while traveling from the town of Kariba to remote communities and fishing camps along the lake. The ferry, which reportedly encountered strong waves, was carrying around 180 passengers and cargo at the time of the accident, according to local broadcaster ZBC News.