happyxxx
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 604
- 1,970
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?