Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Labda waliambiwa watulie. Wanaotangulia kabla yake huwa wana mitizamo yao ambayo huenda hufanya mambo kuwa magumu. Hao wenye Kapelo umewaona??
Unamaanisha kapelo bluu na kilemba bluu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda waliambiwa watulie. Wanaotangulia kabla yake huwa wana mitizamo yao ambayo huenda hufanya mambo kuwa magumu. Hao wenye Kapelo umewaona??
Inawezekana karibu nusi ya waliokuwepo hapo ni wale wanashinda naye. A.k.a EaglesLabda waliambiwa watulie. Wanaotangulia kabla yake huwa wana mitizamo yao ambayo huenda hufanya mambo kuwa magumu. Hao wenye Kapelo umewaona??
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini!!??
View attachment 2348193
🤣🤣🤣Acha kuwasagia kunguni bhana.....unataka uteuliwe wewe.
Inawezekana karibu nusi ya waliokuwepo hapo ni wale wanashinda naye. A.k.a Eagles
SahihiKusisimkwa kutwa nzima hata kama ni taaluma nayo ni shughuli. Wamefanya vizuri kumbadilishia Mama usafiri. Kila uchao mijigari na mijidege angalau ajikumbushe huu wa boti.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
acha bangi kijana!Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?
View attachment 2348193
Utakuwa una tatizo la kusisimka hovyo kila wakati, wahi muone dakatari.Rais ni Rais hata uwe kwenye hali ngumu akitokea mbele yako lazima usisimke.
Picha kama hizi hazitakiwi kwenda public idara ya mawasiliano wamefeli sana.
Unamshangiliaje kwa mfanoKitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?
View attachment 2348193
HehehWafanyakazi wapo mitaani huko wamejazana...... mdomo koma