Idara ya Ikulu Mawasiliano ni wazembe au wanafanya makusudi?

Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.

Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.

Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.

Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.

Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?

View attachment 2348193
Ulitaka wacheze mchiriku au vigodoro! Ajabu ni nini?
 
Acheni masihara nyie huyu kaenda kwao na wazenj wanajulikana kwa kuwachukulia poa watu maarufu na mashuhuri. Wazenj wanaiyo tabia yavkuto kuhemkwa wakiwaona wasanii wakubwa, viongozi wakitaifa na wachezaji mpora maarufu.

Zanzibar sio Tanganyika, Zanzibar kuna adabu zake.

Angalia video hii [emoji116][emoji116][emoji116] Hamonize Anapita na vijana wapo karibu yake wala hawana huo unaouita msisimko naye. View attachment 2348329
 
Hana la maana amefeli kisiasa na kiuchumi
 
Rais ni Rais hata uwe kwenye hali ngumu akitokea mbele yako lazima usisimke.

Picha kama hizi hazitakiwi kwenda public idara ya mawasiliano wamefeli sana.

Akiendelea na matozo yake ipo siku atasusiwa meli apande pekee yake.
 
Imewahi semwa, kama unataka kupendwa na watu uza ice creams. Kiongozi mzuri ni yule anayeeleweka baadae, unless unataka mama awe comedian kama aliyemtangulia. Kazi iendelee

Mimi nilikiwa namkubali mama mwanzoni lakini alipokuja kunikata laki Saba ya tozo kwenye akaunti yangu nikamfuta mazima. Yani sitaki kimsikia
 
Rais ni Rais hata uwe kwenye hali ngumu akitokea mbele yako lazima usisimke.

Picha kama hizi hazitakiwi kwenda public idara ya mawasiliano wamefeli sana.
Misisimko inatusaidia nini kama nchi.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Acheni masihara nyie huyu kaenda kwao na wazenj wanajulikana kwa kuwachukulia poa watu maarufu na mashuhuri. Wazenj wanaiyo tabia yavkuto kuhemkwa wakiwaona wasanii wakubwa, viongozi wakitaifa na wachezaji mpora maarufu.

Zanzibar sio Tanganyika, Zanzibar kuna adabu zake.

Angalia video hii [emoji116][emoji116][emoji116] Hamonize Anapita na vijana wapo karibu yake wala hawana huo unaouita msisimko naye. View attachment 2348329

Yani mtamtetea lakini hamna kitu Hapo. Hana Cha maana
 
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.

Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.

Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.

Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.

Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?

View attachment 2348193
Unataka watu wapige mbizi au acrobatic ktk boti, kumshangilia Mhe. Rais? Soma na lugha ya mwili. Wengine wameduwaa hawaamini kama ndiye Mhe. Rais na wengine huwezi jua itifaki zao.# Tumjadili Rais ktk mambo ya kujenga nchi siyo vimaneno visivyo na tija.🙏🙏🙏
 
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.

Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.

Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.

Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.

Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?

View attachment 2348193
People are not happy. Tozo zimezidi na yeye kaamua kuziba masikio
 
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.

Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.

Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.

Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.

Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?

View attachment 2348193
Unataka wafiche ili iweje?
 
Wananchi wana huzuni raisi na timu yake wana furaha.
 
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.

Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.

Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.

Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.

Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?

View attachment 2348193
Yani we jamaa unafikiria mbali sana haTa me nimewaza hii
 
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.

Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.

Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.

Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.

Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?

View attachment 2348193
Watanzania wajionee wenyewe hali ilivyo.
Kuelekea 2025 tutaona mengi ila ccm kuna uwezekano mkubwa kuwa na mgombea ambaye hauziki kwa wananchi .
 
Hata Kwenye mikutano mingi ya mama yetu, watu huwa hawana furaha kabisa. Fuatilia picha na video!

Atuondolee tozo. Ni wizi!
Ukiweka pesa unakatwa, ukitoa unakatwa!
wao wangetozwa hivyo wangefurahia kweli?

Tozo ni wizi!
Ndio kutaka kusema kipindi kile Cha Giza watu walikuwa na furaha[emoji38]
 
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.

Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.

Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.

Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.

Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?

View attachment 2348193
watu wako busy wanawaza maisha yao ww unataka wasisimke!hahahah
 
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.

Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.

Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.

Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.

Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?

View attachment 2348193
je kama ni mtu wa kitengo?
 
Back
Top Bottom