Wewe ulishawahi kusisimkwa na TOZO ???Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini!!??
View attachment 2348193
Na wewe si ulikuwepo Nungwi???Haya
Hahaha.......niko hapa MwangataNa wewe si ulikuwepo Nungwi???
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Jamaa yako Mkuchika naona yupo bize na Yanga...Hahaha.......niko hapa Mwangata
Mazaa amepoteza mvuto mapema sanaRais ni Rais hata uwe kwenye hali ngumu akitokea mbele yako lazima usisimke.
Picha kama hizi hazitakiwi kwenda public idara ya mawasiliano wamefeli sana.
Ila hajapoteza madaraka ya kuwatawala mnaomuona hana mvuto.Mazaa amepoteza mvuto mapema sana
Sijaona shida hapoKitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini!!??
View attachment 2348193
Acha upuuzi yaani waache kuonyesha picha kamili waweke mapicha yenu ya mapambio feki? Huyo Hangaya hatoshi ndio maana akina Lukuvi, Ndugai na propaganda walitaka akalime karafuu huko kwaoRais ni Rais hata uwe kwenye hali ngumu akitokea mbele yako lazima usisimke.
Picha kama hizi hazitakiwi kwenda public idara ya mawasiliano wamefeli sana.
Watu wanawaza Tozo Komoa zako Wewe unahangaika Kuwapungia tumikono twako kwanini Wasikuchunie tu ili ujue kuwa huna Jipya Kwao na wala hawana Upendo nawe?Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini!!??
View attachment 2348193
Acha kuwasagia kunguni bhana.....unataka uteuliwe wewe.Rais ni Rais hata uwe kwenye hali ngumu akitokea mbele yako lazima usisimke.
Picha kama hizi hazitakiwi kwenda public idara ya mawasiliano wamefeli sana.