Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ulitaka wacheze mchiriku au vigodoro! Ajabu ni nini?Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?
View attachment 2348193
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?
View attachment 2348193
Rais ni Rais hata uwe kwenye hali ngumu akitokea mbele yako lazima usisimke.
Picha kama hizi hazitakiwi kwenda public idara ya mawasiliano wamefeli sana.
Imewahi semwa, kama unataka kupendwa na watu uza ice creams. Kiongozi mzuri ni yule anayeeleweka baadae, unless unataka mama awe comedian kama aliyemtangulia. Kazi iendelee
Misisimko inatusaidia nini kama nchi.Rais ni Rais hata uwe kwenye hali ngumu akitokea mbele yako lazima usisimke.
Picha kama hizi hazitakiwi kwenda public idara ya mawasiliano wamefeli sana.
Acheni masihara nyie huyu kaenda kwao na wazenj wanajulikana kwa kuwachukulia poa watu maarufu na mashuhuri. Wazenj wanaiyo tabia yavkuto kuhemkwa wakiwaona wasanii wakubwa, viongozi wakitaifa na wachezaji mpora maarufu.
Zanzibar sio Tanganyika, Zanzibar kuna adabu zake.
Angalia video hii [emoji116][emoji116][emoji116] Hamonize Anapita na vijana wapo karibu yake wala hawana huo unaouita msisimko naye. View attachment 2348329
Unataka watu wapige mbizi au acrobatic ktk boti, kumshangilia Mhe. Rais? Soma na lugha ya mwili. Wengine wameduwaa hawaamini kama ndiye Mhe. Rais na wengine huwezi jua itifaki zao.# Tumjadili Rais ktk mambo ya kujenga nchi siyo vimaneno visivyo na tija.🙏🙏🙏Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?
View attachment 2348193
People are not happy. Tozo zimezidi na yeye kaamua kuziba masikioKitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?
View attachment 2348193
Unataka wafiche ili iweje?Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?
View attachment 2348193
Yani we jamaa unafikiria mbali sana haTa me nimewaza hiiKitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?
View attachment 2348193
Watanzania wajionee wenyewe hali ilivyo.Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?
View attachment 2348193
Ndio kutaka kusema kipindi kile Cha Giza watu walikuwa na furaha[emoji38]Hata Kwenye mikutano mingi ya mama yetu, watu huwa hawana furaha kabisa. Fuatilia picha na video!
Atuondolee tozo. Ni wizi!
Ukiweka pesa unakatwa, ukitoa unakatwa!
wao wangetozwa hivyo wangefurahia kweli?
Tozo ni wizi!
watu wako busy wanawaza maisha yao ww unataka wasisimke!hahahahKitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli kwenye tawala zao ila walikuwa wakifika mtaani utaona picha zikionesha msisimko na excitement.
Kuna mawili either kitengo cha mawasiliano Ikulu hakijui kazi yao au wanafanya kusudi.
Kama wanafanya kusudi ni kwa nini?
View attachment 2348193
je kama ni mtu wa kitengo?Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.