Idara ya Ikulu Mawasiliano ni wazembe au wanafanya makusudi?

Hata Kwenye mikutano mingi ya mama yetu, watu huwa hawana furaha kabisa. Fuatilia picha na video!

Atuondolee tozo. Ni wizi!
Ukiweka pesa unakatwa, ukitoa unakatwa!
wao wangetozwa hivyo wangefurahia kweli?

Tozo ni wizi!
ila kipindi cha nwendazake walikuwa hawana matumaini ya maisha kabisa
 

UVCCM waandaa sherehe ndogo kumpongeza Samia kwa kutumia usafiri wa umma​

 
Siyoni manti ya malalamiko yako ulitaka watu wasimame pengin hyo booti imejaza wanna usalama
 
huenda wewe ndo ukawa mtupu sana kwenye nyanja za ulinzi na usalama wa viongozi hapo hao unaosema hawana furaha na wengine wanaojifanya hawana time nae ote ni watu wa usalama na rais kuwa karibu na hao watoto hapo badala ya watu wazima wa kiume syo bahati mbaya mzee zoom hizo picha za hao jamaa walokaa kwa makini utapata kitu kuanzia hyo alonyoa pank mpka hao wavaa kofia na mwisho angalia kwa makini picha ya huyo dada wa pembeni then fatilia ziara za rais utanishukuru baadae
 
Hapo mbona nyuso nyingi ni zile za kitengo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…