FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Niliwahi kuandika hivi:[emoji1] dada yangu kipenzi najuwa bakwata huikubali
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kuandika hivi:[emoji1] dada yangu kipenzi najuwa bakwata huikubali
Ova
Vipi mtu kuwa na pasport za nchi mbili tofautiMsidanganywe n afitina za huyo mtu, wapi kaonesha umiliki wa ardhi kwa Laswa au mwengine yeyote?
Tanzania hakuna mwenye kumiliki ardhi.
Hata kanisa Katoliki lenye kuhodhi ardhi kubwa baada ya serikali haliimiliki hiyo ardhi.
We Bibi dini inakusumbua sana
Unafahamu kuwa Yesu katokana na kizazi cha kahaba kwa mujibu wa biblia?We Bibi dini inakusumbua sana
Hasara za malaya akizeeka ndio hizi
Mtu ana passport mbili za nchi tofauti ila unamtetea.
Kahaba ni kahaba tu
Mjinga wewe Mimi Sina dini za kipuuzi kama wewe!Unafahamu kuwa Yesu katokana na kizazi cha kahaba kwa mujibu wa biblia?
Unashangaa nini ikiwa hata "Mungu" wako katokana na kizazi cha kahaba?
Unafahamu kuwa Yesu katokana na kizazi cha kahaba kwa mujibu wa biblia?We Bibi dini inakusumbua sana
Hasara za malaya akizeeka ndio hizi
Mtu ana passport mbili za nchi tofauti ila unamtetea.
Kahaba ni kahaba tu
Nimekuelewa
Post ya lini hiyoWewe unashangaa vipi watu hao kupata pasi wakati humu malalamiko kuhusu idara hiyo yapo sana.
Kuna watu wakitoa pesa ile iliyoandikwa kwa ajili ya pasi ya kusafiria wanapigwa kalenda ilhali akija mtu na 400k ananyenyekewa maana hizo ofisi kuna hadi vishoka wa kuharakisha zoezi kwa atakayepenyeza rupia kwenye udhia.
Jana ukurasa wa tamisemi unapost habari za Samia kuchukuliwa fomu ya kugombea urais.
Jionee hapo kurasa ya uhamiaji vitu inavyoweka halafu nenda kurasa rasmi ya uhamiaji ya Kenya utajifunza kitu.
View attachment 2850122
Ilikuwa mwezi November baada ya kariakoo derby. Ila ilifutwa baada ya huyo admin kilaza kujisahau kuswitch account na kupost kwenye account ya umma.Post ya lini hiyo