Hauko timamu kichwani, Yaani akili zako zinawaza Leo tu. Vipi timu zote za ligi kuu au daraja la Kwanza zikifuata huo utaratibu wewe unaona itakuwa Sawa Tu.Sema wabongo mna nongwa na wivu wakipumbavu sana,
Kwa kipi cha maana mumelifanyia taifa lenu ata mkapata wivu wote uwo kwa hao watu 3 kupewa uraia wa tz ?
Ivi uraia wa tz nao ni wa kuulilia na kuonea wivu kweli? 😄
Kwamba izo timu za ligi zote wakiomba hao raia wakigeni wapewa uraia ndo wataijaza tz yenu ama mtathirika na nin labda? Acheni roho mbayaHauko timamu kichwani, Yaani akili zako zinawaza Leo tu. Vipi timu zote za ligi kuu au daraja la Kwanza zikifuata huo utaratibu wewe unaona itakuwa Sawa Tu.
Wewe ndiye nikuulize kama akili yako ipo sawa. Nina uhakika Akili yako ingekuwa sawa ungeelewa kwa urahisi sana nilichoandika.Umeandka nn? Akili yako ipo sawa kwl lakn!
Ili iweje?Nani anahivyo vifungu avifungue!
Mkuu hata hatujawaona wakicheza kwamba ni hatari,uraia ni haki lakini ingekuwa vipaji haswaInawezekana wamepewa kwasababu ya vipaji vyao,acha watusaidie nashno timu maana sisi wenyewe hatujiwezi . Mbumbumbu na wao hawataki kupitwa na huu upepoView attachment 3211254
Hii fekiInawezekana wamepewa kwasababu ya vipaji vyao,acha watusaidie nashno timu maana sisi wenyewe hatujiwezi . Mbumbumbu na wao hawataki kupitwa na huu upepoView attachment 3211254
Ninavyofahamu maombi ya uraia wa Tanzania anatakiwa kuomba mhusika mwenyewe.Inawezekana wamepewa kwasababu ya vipaji vyao,acha watusaidie nashno timu maana sisi wenyewe hatujiwezi . Mbumbumbu na wao hawataki kupitwa na huu upepoView attachment 3211254
Kwa hiyo hatuna haja ya kuwa na idara ya uhamiaji , hivyo mtu yeyote aruhusiwe kuwa raia wa TZ kisa tuna maeneo ya kutosha? Yaani unafikiri itaishia Kwa timu za mpira tu ikiwa itakuwa rahisi tu kuwa raia wa hii nchi. Kwa hiyo na wale wakimbizi wawe wanapewa uraia kisa tuna maeneo ya kutosha?Kwamba izo timu za ligi zote wakiomba hao raia wakigeni wapewa uraia ndo wataijaza tz yenu ama mtathirika na nin labda? Acheni roho mbaya
Wawape na akina Max jamani.TAARIFA KWA UMMAIdara ya Uhamiaji inapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizochapishwa na kujadiliwa kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya Habari kuhusu kupatiwa uraia wa Tanzania wachezaji watatu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Singida Black Stars.
Wachezaji wanaotajwa kwenye taarifa hizo ni kama ifuatavyo:-
1.Emmanuel Kwame Keyekeh (Ghana),
2.Josephat Arthur Bada (Cote d'Ivoire), na
3. Muhamed Damaro Camara (Guinea).
Wachezaji tajwa waliomba na kupewa uraia kwa mujibu wa vifungu vya 9 na 23 vya Sheria ya Uraia ya Tanzania, Sura ya 357.
Kwa muktadha huo, Idara ya Uhamiaji inapenda kuutaarifu Umma kuwa watajwa ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi.
Imetolewa na;
SSI. Paul J. Mselle
MSEMAJI MKUU WA IDARA YA UHAMIAJI
Soma pia: Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni
Shida ni kwamba unakuta mchezaji mwenyewe siye aliyeomba bali kuna msukumo wa kisiasa maana Singida BS wana wachezaji wengi sana wa kimataifa zaidi ya idadi inayohitajika.Kwamba izo timu za ligi zote wakiomba hao raia wakigeni wapewa uraia ndo wataijaza tz yenu ama mtathirika na nin labda? Acheni roho mbaya
pita hiviIli iweje?
.tumia chat gpt utaviona.
Nadhan wee dish limeyumba kwan taratbu ya uraia wa Tanzania ukoje?Wewe ndiye nikuulize kama akili yako ipo sawa. Nina uhakika Akili yako ingekuwa sawa ungeelewa kwa urahisi sana nilichoandika.
Ngoja nikupuuzie tu, ili maisha yaendelee. Endapo utajibu hii, mimi sitakujibu chochote tena kuhusu hili.Nadhan wee dish limeyumba kwan taratbu ya uraia wa Tanzania ukoje?
Sheria zinasema mtu awe ameishi Tanzania miaka isiyopungua 10 Kati ya hiyo awe ameishi miaka Saba mfululizo.Ni ukweli usio pingika kwamba sheria zimepindishwa sana ili kutoa uraia kwa wachezaji wa Singida Black Stars
View attachment 3211250
Hili swala halipaswi kuachwa lipite hivi hivi.