CPA
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 809
- 354
Serikali ya tanzania kupitia idara ya uhamiaji inalalamikiwa na madaktari kuwanyima pass port (hati ya kusafiria nje ya nchi). Idadi kubwa ya madaktari wanakimbia nchi kwenda nchi nyingine ambako wanahitajika wakafanye kazi huko kwa maslahi mazuri, hii imetokea baada ya kutokea mgogoro kati ya madaktari na serikali ya tanzani. Madaktari wakifika uhamiaji wakijitambulisha wao ni madaktar, ma ofisa wa uhamiaji wanaambia wasubiri. Hata hivyo afisa wa habari uhamiaji amekana shutuma hizo, amesema itakuwa hawakutimiza baadhi ya masharti. Imeelezwa madaktari wengi wamepata kazi nje ya nchi hasa burundi, rwanda, botswana etc.
Source. BBC SWAHILI-HABARI
CPA(T)
Source. BBC SWAHILI-HABARI
CPA(T)