Idara ya Uhamiaji yawanyima Madaktari passport -BBC habari

Idara ya Uhamiaji yawanyima Madaktari passport -BBC habari

CPA

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
809
Reaction score
354
Serikali ya tanzania kupitia idara ya uhamiaji inalalamikiwa na madaktari kuwanyima pass port (hati ya kusafiria nje ya nchi). Idadi kubwa ya madaktari wanakimbia nchi kwenda nchi nyingine ambako wanahitajika wakafanye kazi huko kwa maslahi mazuri, hii imetokea baada ya kutokea mgogoro kati ya madaktari na serikali ya tanzani. Madaktari wakifika uhamiaji wakijitambulisha wao ni madaktar, ma ofisa wa uhamiaji wanaambia wasubiri. Hata hivyo afisa wa habari uhamiaji amekana shutuma hizo, amesema itakuwa hawakutimiza baadhi ya masharti. Imeelezwa madaktari wengi wamepata kazi nje ya nchi hasa burundi, rwanda, botswana etc.
Source. BBC SWAHILI-HABARI
CPA(T)
 
walivyoruhusu watu wakatafute kazi popote walifikiria inashindikana?
"Bora uishi kama mbwa ughaibuni kuliko mtu tanzania'
 
Serikali ya tanzania kupitia
idara ya uhamiaji inalalamikiwa na madaktari kuwanyima pass port (hati
ya kusafiria nje ya nchi). Idadi kubwa ya madaktari wanakimbia nchi
kwenda nchi nyingine ambako wanahitajika wakafanye kazi huko kwa
maslahi mazuri, hii imetokea baada ya kutokea mgogoro kati ya madaktari
na serikali ya tanzani. Madaktari wakifika uhamiaji wakijitambulisha wao
ni madaktar, ma ofisa wa uhamiaji wanaambia wasubiri. Hata hivyo afisa
wa habari uhamiaji amekana shutuma hizo, amesema itakuwa hawakutimisha
baadhi ya masharti. Imeelezwa madaktari wengi wamepata kazi nje ya nchi
hasa burundi, rwanda, botswana etc.
Source. BBC SWAHILI-HABARI

ni kuminya haki zao kikatiba. wanao uhuru wa kwenda watakako mradi hawavunji sheria.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Typical! So mediocre!
Sasa ukiwamanipulate hivyo utafaudikaje? Punda ukimpeleka mtoni kunywa maji ni hiari yake!
 
Ubabe dhidi ya haki katu hautashinda. Lita-solvika tu kwa namna yake. Hata kama ni kupitia vifo vya wadhalimu.
 
Wanaweza wakaomba uraia wa nchi nyingine (wakiwa ndani au nje ya TZ) kwa kigezo hicho na wakapata. Wajipange vizuri tu na mawakili wao; kama wana nia basi watafanikiwa. Kuna watanzania wengi walipata uraia wa UK kipindi kile cha ugomvi wa "CUF na CCM" chini ya mwamvuli wa kuwa wanachama wa CUF wakapata. Walipofika UK wakafanya mipango na wakapata passport za TZ (kwa mlango wa nyuma).
 
si dhaifu alisema wakatafute kazi popote?sijui ni balaa gani lililotupata watanganyika....
 
Leseni zao zifuteni, passport muwanyime but the bottom line is you cannot enslave an educated man.
 
Wakati Dhaifu ananyoosha mdomo wake na kutamka kwa mbwembwe kwamba asiyetaka kufanya kazi akatafute kazi kwingine, ina maana ilikuwa ni One of many epsodies za movies zao za Ki-commedy!
 
inashangaza kusikia eti daktari hana hati ya kusafiria,baada ya kufukuzwa kazi ndipo anaona umuhimu wa kutafuta hati ya kusafiria sasa..
 
Hivi dhaifu anafikiria nini!???
Yaani kila kweli tuna ongozwa na kilaza!
 
ushamba wa viongoz wetu....c utawala huo..cjui hata hzo Phd wanapewa kwa misingi gan
 
Madaktari wameamua kujiunga na wadandia meli kwenda kuwa wabeba mabox ughaibuni kulikomchosha Le Mutuz, jambo zuri watajifunza mengi maana wakiwa Tanzania tu wanakuwa na ndito za ajabu ajabu. Huko waendako kodi watakayokokotolewa watajua kuzaliwa. Wawaulize wabeba mabox yanayowakuta, lakini licha ya hayo kidogo kinaingia mfukoni kuliko bongoland.
 
watazitoa tu,Drs wanaweza kuwa hawana nguvu za kimamlaka but ni watu wenye akili timamu,ndio maana habari hii imeanza kufika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa.Jk akitaka miaka iliyobaki kwenye uongozi wake iwe mirefu aendelee kuwanyanyasa Drs.
 
Back
Top Bottom