Idara za usalama za dunia na majeshi ya mataifa makubwa on High Alert, Pray for World

Wahenga wamesema; "Ndugu wakigombana shika jembe ukalime wakipatana nenda ukavune".

Ukraine na Russia ni mtu na nduguye kihistoria--- NATO wazingatie jambo hilo ili kuepusha madhara makubwa kwani bora nusu shari kuliko shari kamili.
Ukiona hivyo ujue NATO nao wanajambo lao
 
Anachezea kichapo kikali muda huu anaomba poo.

Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma, Putin anatia huruma!

Vita ni vita; hakunaga small war. NATO walipigana na Taliban kwa miaka ishirini na kwa gharama ya roho zaidi ya 3,500 za askari wao na zaidi ya $2 trillion!

What did NATO forces accomplish? They successfully replaced the Taliban with the Taliban. This was the best victory of any army in human history![emoji23]
 
Ni kama vile kutoboa mtumbwi wakati na wewe umepanda humohumo ukifikri uwezo wako wa kutoboa mtumbwi utakufanya usalimike.
 
Hali imebadilika ktk uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia.
Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo...
Russia ameviambia vikosi vyake vya silaha za maangamizi kuwa tayari...
Wakati hayo yanatangazwa German na Euro wanapeleka vifaa vya kivita Ukrain.

UK hajaongea jambo lolote wala Marekani under carpert inasemekana mataifa haya pamoja na mataifa siwezi kuyataja wapo ktk vikao vizito vya siri...
Maana kule china nako kuna nuka while Korea kukiwa nako na hatufu ya ICBM.... Test jana..
Ombea dunia mm tangu asubuh nasali

Huwezi kuyataja??????
 
Kwahiyo mwisho wa dunia umefika..basi sawa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali imebadilika ktk uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia.
Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo...
Russia ameviambia vikosi vyake vya silaha za maangamizi kuwa tayari...
Wakati hayo yanatangazwa German na Euro wanapeleka vifaa vya kivita Ukrain.

UK hajaongea jambo lolote wala Marekani under carpert inasemekana mataifa haya pamoja na mataifa siwezi kuyataja wapo ktk vikao vizito vya siri...
Maana kule china nako kuna nuka while Korea kukiwa nako na hatufu ya ICBM.... Test jana..
Ombea dunia mm tangu asubuh nasali
Tuambieni kwanza alipo Ben Saanane
 
Kichaa we! Congo kila siku wanauana, Afrika ya kati, Ethiopia, Somalia, sudani n.k umewahi kuleta thread kwa tuwaombee waAfrika wenzetu? Wacha wagongane tu! Dadeki shwain
 
Putin ni kama JPM tu lazma hawa western europe na kibaraka wao marekani watie akili mwaka huu..
Nataka adondoshe nuclear moja pale ukraine afute wahuni wote na vibaraka wote wanaopeleka silaha watatia akili
 
Ulishindwa kumwokoa mjomba wako JPM kwa sala utaiokoa dunia? Kula dagaa hizo ulale.
JF Yenyewe Haa Ipo Front Line Na Hawa Makamanda
 
Back
Top Bottom