Ukiona hivyo ujue NATO nao wanajambo laoWahenga wamesema; "Ndugu wakigombana shika jembe ukalime wakipatana nenda ukavune".
Ukraine na Russia ni mtu na nduguye kihistoria--- NATO wazingatie jambo hilo ili kuepusha madhara makubwa kwani bora nusu shari kuliko shari kamili.
Pale ndio jamaa alipotupiga sound, hata mimi nimeshangaa kauli yakeEti kuna mataifa ambayo siwezi kuyataja!!🙂
🙂🙂🙂
Anachezea kichapo kikali muda huu anaomba poo.
Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma, Putin anatia huruma!
Bogus data vifaa hivyo ni kama biashara ya njugu tuu zilizoagizwa na Ukrain. Sio msaada wa kivita kama majeshi.Wakati hayo yanatangazwa German na Euro wanapeleka vifaa vya kivita Ukrain.
Hali imebadilika ktk uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia.
Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo...
Russia ameviambia vikosi vyake vya silaha za maangamizi kuwa tayari...
Wakati hayo yanatangazwa German na Euro wanapeleka vifaa vya kivita Ukrain.
UK hajaongea jambo lolote wala Marekani under carpert inasemekana mataifa haya pamoja na mataifa siwezi kuyataja wapo ktk vikao vizito vya siri...
Maana kule china nako kuna nuka while Korea kukiwa nako na hatufu ya ICBM.... Test jana..
Ombea dunia mm tangu asubuh nasali
Kwahiyo mwisho wa dunia umefika..basi sawa.Hali imebadilika ktk uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia.
Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo...
Russia ameviambia vikosi vyake vya silaha za maangamizi kuwa tayari...
Wakati hayo yanatangazwa German na Euro wanapeleka vifaa vya kivita Ukrain.
UK hajaongea jambo lolote wala Marekani under carpert inasemekana mataifa haya pamoja na mataifa siwezi kuyataja wapo ktk vikao vizito vya siri...
Maana kule china nako kuna nuka while Korea kukiwa nako na hatufu ya ICBM.... Test jana..
Ombea dunia mm tangu asubuh nasali
Kupanda ndio ngoma, kushuka mchongoma!Anachezea kichapo kikali muda huu anaomba poo.
Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma, Putin anatia huruma!
[emoji38][emoji38][emoji38]Ulishindwa kumwokoa mjomba wako JPM kwa sala utaiokoa dunia? Kula dagaa hizo ulale.
Tuambieni kwanza alipo Ben SaananeHali imebadilika ktk uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia.
Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo...
Russia ameviambia vikosi vyake vya silaha za maangamizi kuwa tayari...
Wakati hayo yanatangazwa German na Euro wanapeleka vifaa vya kivita Ukrain.
UK hajaongea jambo lolote wala Marekani under carpert inasemekana mataifa haya pamoja na mataifa siwezi kuyataja wapo ktk vikao vizito vya siri...
Maana kule china nako kuna nuka while Korea kukiwa nako na hatufu ya ICBM.... Test jana..
Ombea dunia mm tangu asubuh nasali
Ameyataka mwenyewe...huenda ikawa mwisho wake.Anachezea kichapo kikali muda huu anaomba poo.
Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma, Putin anatia huruma!
Kichaa we! Congo kila siku wanauana, Afrika ya kati, Ethiopia, Somalia, sudani n.k umewahi kuleta thread kwa tuwaombee waAfrika wenzetu? Wacha wagongane tu! Dadeki shwainHali imebadilika ktk uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia.
Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo...
Russia ameviambia vikosi vyake vya silaha za maangamizi kuwa tayari...
Wakati hayo yanatangazwa German na Euro wanapeleka vifaa vya kivita Ukrain.
UK hajaongea jambo lolote wala Marekani under carpert inasemekana mataifa haya pamoja na mataifa siwezi kuyataja wapo ktk vikao vizito vya siri...
Maana kule china nako kuna nuka while Korea kukiwa nako na hatufu ya ICBM.... Test jana..
Ombea dunia mm tangu asubuh nasali
AiseeeeeUlishindwa kumwokoa mjomba wako JPM kwa sala utaiokoa dunia? Kula dagaa hizo ulale.
Awaruhusu watoke aone kama atabski mtu!Nasikia amenasa hapo Kiev. Wananchi wameamua kuingia mtaani kupigania nchi yao isigeuzwe kibaraka wa Moscow
Nataka adondoshe nuclear moja pale ukraine afute wahuni wote na vibaraka wote wanaopeleka silaha watatia akiliPutin ni kama JPM tu lazma hawa western europe na kibaraka wao marekani watie akili mwaka huu..
Anachapa au anachapwa huu niwakati wa Vita acheni kuandika vifupisho au kuedt maneno kwenye sentensi..............Putin asikiagi kelele za chura anachapa mkono mwanzo mwisho.
Hahahaha mkuu bramo heshima yako, huyu na mjomba wake marehemu wameua wengi sana leo anajirudisha kinyume nyume.Tuambieni kwanza alipo Ben Saanane
ukiona hivyo ujue NATO nao wanajambo lao
JF Yenyewe Haa Ipo Front Line Na Hawa MakamandaUlishindwa kumwokoa mjomba wako JPM kwa sala utaiokoa dunia? Kula dagaa hizo ulale.