Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aah,hiyo hapo juu,huyo alieitoa angejua nilihenyeka kuipata?Picha ipi mkuu?
alikuwa katembelea israel,kumbuka israel ilikuwa miongoni mwa mataifa ya mwanzo kumkubali amin..Baada ya hapa akawatimua?
Jamaa alikuwa hatabiriki bwana, anaweza kukuchekea hasira zikimpanda anakuua kama si yeye wa dakika tano zilizopita. Wengine wanasema alikua psychiatric case.alikuwa katembelea israel,kumbuka israel ilikuwa miongoni mwa mataifa ya mwanzo kumkubali amin..
Obote alikuwa kavunja uhusiano nao
wao ndo walimweka baada ya kumsaidia silaha na kutrain kikosi kilichompindua obote,walikuja kukosana baada ya amin kuwaomba israel fighter jet ili kuishambulia Tanzania kwani amin alisikia obote anaanda majeshi ya kumpiga kutokea Tanzania,waisrael wakawa wanakuwa wazito kumpa,ghadaf akaona chance ya kuvunja urafiki kati ya idd amin na israel kwani lengo la waisrael ilikuwa kupitisha silaha uganda kwenda sudan kulikokuwa na waasi wa anyanya wakipigana na waarabu wa sudan.Jamaa alikuwa hatabiriki bwana, anaweza kukuchekea hasira zikimpanda anakuua kama si yeye wa dakika tano zilizopita. Wengine wanasema alikua psychiatric case.
Idd Amini was a good fella...
Kuna mtu aliniambia vita ya Uganda na TZ ilikua ya udini na maslahi binafsi ya watu fulani...
Yaani Kuna clip alikuwa interviewed nijisikia nomaa ... Anaulizwa vitu ya maana ye anajichekesha mara ampigie makofi mamba eti adumbukie mtoni, Mara asifie mitoko na misosi ya huko ulaya, kujisifia sasa...sometimes ni kama nati zilikuwa zimelegeaAnaongea aibu unaona wewe unaesikiliza.
Kwakweli alikuwa na mapenzi na nchi yake, lakini alikua mtu mwenye hasira sana na ninadhani wasomi aliwaona ni tishio katika utawala wake.Yaani Kuna clip alikuwa interviewed nijisikia nomaa ... Anaulizwa vitu ya maana ye anajichekesha mara ampigie makofi mamba eti adumbukie mtoni, Mara asifie mitoko na misosi ya huko ulaya, kujisifia sasa...sometimes ni kama nati zilikuwa zimelegea
poa tunakusikilizia, pia kati ya hao watoto 45 hamna aliyechukua itikadi za mshua hata mmoja?Asante sana, this is very interesting part of the story. Nitaendelea nipeni muda. Kuna Maisha ya binafsi ya Amini.
Ninaifahamu familia ambayo baba alirudi Uganda akiwa na Masters ya agriculture kutokea Uingereza, walikuwa kwenye kikao na Amin walibishana kuhusu sekta ya kilimo inavyoongozwa. Baada ya kikao bahati yule baba alikuwa na ndugu jeshini walimpigia simu Amin anakutafuta upelekwe chamba ya mauaji. Ilibidi wakodi tax kutoka Kampala mpaka Nairobi na yule baba alikaa kwenye boot ya gari wakati wanapita mpakani. Wakati ule huhitaji visa kwenda Uingereza alinunua ticket Nairobi kwenda London. Familia ilimfuata asubuhi yake. Walinieleza hii wenyewe.ndo mana wanasema madaraka wapewe waliosoma, wawe na akili timamu
kama mtu hana elimu kama alivokua huyu na malezi ya upande mmoja / na ameishi maisha ya jeshi miaka yote
lazima awe dikteta...
[emoji23][emoji23]maana sio kwa kujichotea huko madaraka[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]chaaaa!Ninaifahamu familia ambayo baba alirudi Uganda akiwa na Masters ya agriculture kutokea Uingereza, walikuwa kwenye kikao na Amin walibishana kuhusu sekta ya kilimo inavyoongozwa. Baada ya kikao bahati yule baba alikuwa na ndugu jeshini walimpigia simu Amin anakutafuta upelekwe chamba ya mauaji. Ilibidi wakodi tax kutoka Kampala mpaka Nairobi na yule baba alikaa kwenye boot ya gari wakati wanapita mpakani. Wakati ule huhitaji visa kwenda Uingereza alinunua ticket Nairobi kwenda London. Familia ilimfuata asubuhi yake. Walinieleza hii wenyewe.
Ushindi wa ile vita ni kwakua Amin alishakuwa na maadaui wengi na wengine walipigana kutoka ndani ya Uganda kama Museveni na kundi lake ambao walisaidia jeshi la Ukombozi.Mtueleze pia vikosi vya tz vilijipanga vipi maana kwenye ile muvi inaonesha tulichezea kwanza kichapo kabla ya kurudi tena kuikomboa kagera
Sky Eclat, asante sana kwa historia murua. Nilikuwa Uganda 1972 hadi 1975. Mengi uliyoeleza ni kweli.Ushindi wa ile vita ni kwakua Amin alishakuwa na maadaui wengi na wengine walipigana kutoka ndani ya Uganda kama Museveni na kundi lake ambao walisaidia jeshi la Ukombozi.