Idd Amin Dada

Idd Amin Dada

Asante mkuu.
Baada ya jaribio la kwanza kabisa la kumpindua mwaka 1972, Watanzania tuliokuwa tukiishi Uganda tulialikwa kukutana naye Idi Amin Dada katika ukumbi wa Kampala Conference Center. Kwa woga tulienda na aliongea nasi kwa muda wa saa nzima na baada ya mkutano alisimama mlangoni kumsalimia kwa mkono kila moja wetu aliyehudhuria. Wakati huo mambo hayajaharibika sana ingawa Mwalimu alikuwa amekataa katakata kumtambua.
 
Alivyojiita...

His Excellency President for Life Field Marshal Al Hadj Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular...

Operation yake ya kuwafukuza Wahindi na kuwagawia washikaji wake biashara, majumba na mali zao ilijulikana kama Operation Mafuta Mingi, OMM!

Rafiki yangu ni Mganda, ananiambia kwenye mtihani ilikuwa ukikosea hivyo vyeo umefeli swali. Inabidi uvikariri vyeo vyote vya presedaa.
 
Alivyojiita...

His Excellency President for Life Field Marshal Al Hadj Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular...

Operation yake ya kuwafukuza Wahindi na kuwagawia washikaji wake biashara, majumba na mali zao ilijulikana kama Operation Mafuta Mingi, OMM!

Nmeipenda hiyo Lord of all the beasts of the earth and fishes of the sea and conquerer of the British empire in africa in general and Uganda in particular...! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Daaah kweli Idd Amin Dada alikuwa chuma...!
 
Hizo ni propaganda tupu tukiaminishwa tu ili kuhalalisha kuivamia uganda. Sisi ndo tuli ikosea uganga kwa kuweka kambi za waganda kwa ajili ya kumpindua. Kina museveni walipewa kila msaada.
Amin alikua dictator lkn ilibidi iwe hivo kwani hali ya usalama haukua nzuri kwani alikabiliwa na upinzani wa ndani ma nje
Propaganda ni kitu cha ajabu sana mtu unapandikizwa chuki wakati hata ugomvi haukuhusu! Tulipandikizwa chuki na kumchukia sana huyu bwana. Nakumbuka wakati tukiwa jeshini kuna wimbo tulikuwa tunaimba "Idd Amini akifa, mimi siwezi kulia, tutamtupa Kagera awe chakula cha mamba".
 
Idi Amin Dada alizaliwa 1923 na alifariki mwezi wa nane 2003 alikua raisi wa tatu wa Uganda, alitawala 1971 mpaka 1979. Kyalow

Waandishi kama ninyi tutawasoma sana. Niliwahi kusikia ushuhuda mmoja wa Askofu wa Madhehebu ya Kipentekoste ambaye alikamatwa na Idi Amin kipindi kile cha kuuawa kwa Askofu Mkuu Janaani Luwum. Askofu huyo alipelekwa "Nile Mansion Hotel" ambayo kipindi fulani ilikuwa Command Post ya mheshimiwa. Alisema namnukuu: "Unanijua mimi? Amin aliniuliza! Nikamjibu. Ndiyo nakujua! Wewe ni Field Marshall Iddi Amin Dada; Commander in Chief wa Uganda Army; Life President wa Republic of Uganda; Conqueror of the British Empire; Chairman wa OAU na Wewe ni Jogoo ya Afrika! Iddi Amin aliniachia huru akasema ['Huyu ananifahamu vizuri sana achia yeye!'] ndipo nikatolewa Nile Mansion. Kabla sijaondoka nilimwomba nimwombee Life President wangu! Nilipigwa picha na vyombo vya habari nikimwombea Amin." Mwisho wa nukuu (Askofu Daniel Kasmiri - Plateau, Eldoret, Kenya August 1984 - Victorius Living Ministries Church Leaders Conference}.
 
Hizi articles zako mie huwa nazipenda maana huwa najifunza yale ambayo siyajui. Muda ukikuruhusu uwe unaziweka, hivi karibuni umepunguza kidogo kuziweka.

Asante sana, this is very interesting part of the story. Nitaendelea nipeni muda. Kuna Maisha ya binafsi ya Amini.
 
lol! hahahahaha nimekumbuka vyeo tulivyompa huyu nanihii wa kwetu vyeo vya kitaa 🙂🙂

His Excellency
President for Life Field Marshal
Alhaj Dr. Idi Amin Dada, VC, DSO,
MC, CBE

vyeo hadi kwenye viatu
 
Waandishi kama ninyi tutawasoma sana. Niliwahi kusikia ushuhuda mmoja wa Askofu wa Madhehebu ya Kipentekoste ambaye alikamatwa na Idi Amin kipindi kile cha kuuawa kwa Askofu Mkuu Janaani Luwum. Askofu huyo alipelekwa "Nile Mansion Hotel" ambayo kipindi fulani ilikuwa Command Post ya mheshimiwa. Alisema namnukuu: "Unanijua mimi? Amin aliniuliza! Nikamjibu. Ndiyo nakujua! Wewe ni Field Marshall Iddi Amin Dada; Commander in Chief wa Uganda Army; Life President wa Republic of Uganda; Conqueror of the British Empire; Chairman wa OAU na Wewe ni Jogoo ya Afrika! Iddi Amin aliniachia huru akasema ['Huyu ananifahamu vizuri sana achia yeye!'] ndipo nikatolewa Nile Mansion. Kabla sijaondoka nilimwomba nimwombee Life President wangu! Nilipigwa picha na vyombo vya habari nikimwombea Amin." Mwisho wa nukuu (Askofu Daniel Kasmiri - Plateau, Eldoret, Kenya August 1984 - Victorius Living Ministries Church Leaders Conference}.
Angejichanganya aone...! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Hizi articles zako mie huwa nazipenda maana huwa najifunza yale ambayo siyajui. Muda ukikuruhusu uwe unaziweka, hivi karibuni umepunguza kidogo kuziweka.
Majukumu mkuu.
 
Back
Top Bottom