nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
kule kwenye back line kuna mtu kagawana naye ile milioni 3,hadi jina la wakala linajulikanaSalum Abubakar kafanya kosa gani leo pale dimbani! Kwa Fei Toto hata huyo Chama wenu huwa anachemsha! Acheni kumzulia dogo wa watu!
Kama uliangalia mpira sema ni kosa gani alilofanya Salum?kule kwenye back line kuna mtu kagawana naye ile milioni 3,hadi jina la wakala linajulikana
subiri akicheza na simba ndipo utaona tofauti,aseme ile milioni tatu kule safu ya ulinzi ya azam kagawana na nani.Refa kakataa goal halali kabisa la Azam,namna hii mpira wetu hautaenda popote.Kama uliangalia mpira sema ni kosa gani alilofanya Salum?
kwani hela za ndege huwaga mnatoa wapi?hujawahi ona wabongo hawmsaidii mgonjwa ila msiba wanagharamia wa kifahari?Kwa nn unateseka mkuu,Yanga tupate pesa wapi ya kuhonga mkuu,jana ulisema Yanga wanapigwa 6-1,nipe matokeo ya leo,[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu naona unapambana,mie nmekuomba matokeo ya leo na ule uzi wako wa 6-1 ya jana ushaifuta?,Mikia nyie ndo wenye matrilioni sisi tupate pesa wap ya kuhonga?[emoji23]kwani hela za ndege huwaga mnatoa wapi?hujawahi ona wabongo hawmsaidii mgonjwa ila msiba wanagharamia wa kifahari?
Jibu swali kuhusu goal la azam lilokataliwa,nasikitikia sana mpira wetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu naona unapambana,mie nmekuomba matokeo ya leo na ule uzi wako wa 6-1 ya jana ushaifuta?,Mikia nyie ndo wenye matrilioni sisi tupate pesa wap ya kuhonga?[emoji23]
Mpira umeangalia kibanda umiza?Yaani makwasukwasu hela nilidhani walimpa sure boy tu kumbe mgao ulikuwa mrefu hadi kwa refa.KAKATAA GOAL LA WAZI KABISA LA AZAM.
namna hii mpira wetu kamwe hautaeendelea, halafu wewe idd cheche ulikula sh ngapi na wewe kutoka michango ya makwasukwasu?ushaambiwa usimpange sure boy mechi ya yanga huyo ni kama ally ally tu hajitambui,ushaambiwa katumiwa milioni 3 bado ukamuweka,jinga kabisa.
Unajifanya fitina za kibongo unazijua kumbe walewale tu
Muwe mnaenda uwanjani angalau mara moja moja.Jibu swali kuhusu goal la azam lilokataliwa,nasikitikia sana mpira wetu
Kafungwa Azam wanaumia wengine! PoleniJibu swali kuhusu goal la azam lilokataliwa,nasikitikia sana mpira wetu
Azam wanakula pesa ya bure ya Mzee Bakhresa
Wenye timu yao azam wapo kimya wewe simba yanakuhusu niniYaani makwasukwasu hela nilidhani walimpa sure boy tu kumbe mgao ulikuwa mrefu hadi kwa refa.KAKATAA GOAL LA WAZI KABISA LA AZAM.
namna hii mpira wetu kamwe hautaeendelea, halafu wewe idd cheche ulikula sh ngapi na wewe kutoka michango ya makwasukwasu?ushaambiwa usimpange sure boy mechi ya yanga huyo ni kama ally ally tu hajitambui,ushaambiwa katumiwa milioni 3 bado ukamuweka,jinga kabisa.
Unajifanya fitina za kibongo unazijua kumbe walewale tu
lile goal lile refa kakataaa goal la wazi kabisa .,dahAzam wamejifungisha haiwezekani wakafungwa na omba omba waliotoka kugoma just tu hapa
Mzee Bakhresa punguza mamluki kwenye timu yako wanakula pension tu wakina Ngoma na Chirwa